Usijenge hoja kijuu juu tu. Tafuta Katiba ya Ufaransa uilete hapa.
Katiba ya zamani ya Ufaransa ilikuwa inasema kuwa kipindi cha urais ni miaka 7. Baada ya hapo anamaliza kipindi chake na uchaguzi mwingine wa kumtafuta rais unaitishwa competitively kwa watu wote wenye sifa. Mtu aliyekuwa rais pia alikuwa anaruhusiwa kuogombea tena; Mitterand alitumikia katika katiba hiyo na Rais wa mwisho kutumikia katiba hiyo ni Jacques René Chirac. Baadaye mwaka 200 kukawa na constitutional ammendment ya kufupisha kipindi cha urais kutoka miaka 7 kuwa miaka mitano, na vile vile mwaka 2008 wakaanza kuhesabu vipindi vya urais na kuweka ukomo wa vipindi viwili.
Hiyo ni tofauti kabisa na Urusi na China ambako virtually hakuna competitive election ya kiti cha rais! Ujerumani hakuna uchaguzi wa Chancelor, bali ni uchaguzi wa Chama, kama ilivyo uingereza. Chama kinachopata vitiu vindi ndicho kinamtoa wazir Mkuu (Uingereza) na Chancellor (Ujerumani). In the end unachukubaliana nami ni kunakuwepoa competitive election na mtu au chama kinachoshinda ndicho kinaongfoza. Siyo kuwa na mtu mmoja amekaa kamapale kama vile ndalizaliwa kutawala milele.
Mwishoni, jifunze kusoma vizuri na kuelewa unachosma. Mimi sikusema kuwa republican system tunayotumia ilianzia Marekani. Na kwa taarifa yako siyo ufaranza walioanzisha republican system, imekuwa ni evolution process iliyoanzia kwa wagirki; ndiyo maana hadi majuzi tu 2008 bado hata Ufaransa wanafanya marekebisho ya katiba yao. Ninachotaka uelewa ni kuwa System tunayofuata sisi ni ile inayofutwa na Marekani hatufuati System ya Utrusi au China; ndiyo maana unaona tuna CCM CHADEM<A, CUF etc.