watumia simu nchini ni wengi kuliko watanzania wanaopata maji safi. anasema mwalimu nyerere ananukulika. ananukuu ifuatavyo; 'the instrument of domination in the future is going to be education'
anasema bila akili gesi itatulipukia. tuwekeze katika elimu. Kimsingi katika bara la afrika sote tunaumwa, tanzania angalau ina nafuu karibu inatoka wodini, wanaotuzidi ni kenya, ghana tunawazidi hususan katika suala la udahili wa wanafunzi
changamoto tunafundisha nini, wanajifunza nini, hapo ndo ngoma ilipo.
lakini pia lipo suala la wanafunzi wangapi wanamaliza shule. sisi tuko vizuri.
kule uganda wanaomaliza shule asililia 60 hawajui kusoma na kuandika.
anazungumzia sasa athari za kufali kwa wanafunzi wa sekondari
ipo hatari vyuo vikakosa wanafunzi, tunazo nafasi takribani 27 elfu, katika vyuo vikuu ifikapo 2015 tutawatoa wapi?
shule zenye matundu ya vyoo watoto wana utulivu, ambapo hakuna vyoo wanafeli
shule ambako wazazi wanasupport elimu, wanafaulu ambapo hamna wanafeli
anapongeza walimu kwa kujitoa kufanya kazi