Mjadala wa Elimu Live Nkhrumah leo

Mjadala wa Elimu Live Nkhrumah leo

anasema mfumo wa ugatuaji hauna misitari iliyo wazi ya usimamizi
 
anasema middle schools zilikuwa bora sana, mambo yaliharibika tulipoingiza mabadiliko mbalimbali
 
anasema tusubiri katiba itoke tusije tukawa na vurugu machi. kamaliza
 
anadokeza atagusia suala la viboko. havijawahi kufutwa mashuleni
 
Mods jamani siipati Jf kwenye PC natumia moderm ya Zantel Invisible saidia please mimi iko tumia simu
 
Last edited by a moderator:
sehemu kubwa ya watanzania ni watoto, kwa hiyo tuwe na mipango inayozingatia hilo
 
watumia simu nchini ni wengi kuliko watanzania wanaopata maji safi. anasema mwalimu nyerere ananukulika. ananukuu ifuatavyo; 'the instrument of domination in the future is going to be education'
 
anamnukuu vile vile Tony Brail kwamba alisema vipaumbele vyake cha kwanza ni elimu, cha pili ni elimu, cha tatu ni elimu!
 
anatolea mfano wa israel walivyo na mafanikio licha ya kwamba nusu ya nchi hiyo ni jangwa. na ni nchi ndogo kuliko morogoro
 
anasema bila akili gesi itatulipukia. tuwekeze katika elimu. Kimsingi katika bara la afrika sote tunaumwa, tanzania angalau ina nafuu karibu inatoka wodini, wanaotuzidi ni kenya, ghana tunawazidi hususan katika suala la udahili wa wanafunzi
 
changamoto tunafundisha nini, wanajifunza nini, hapo ndo ngoma ilipo.
lakini pia lipo suala la wanafunzi wangapi wanamaliza shule. sisi tuko vizuri.
kule uganda wanaomaliza shule asililia 60 hawajui kusoma na kuandika.
 
kwenye mitihani ya kimataifa watanzania walionoza kwenye somo la kusoma kwa kupata alama 578. kwenye hesabu tulikuwa wa pili, hiyo ni mwaka 2007
 
anazungumzia sasa athari za kufali kwa wanafunzi wa sekondari
ipo hatari vyuo vikakosa wanafunzi, tunazo nafasi takribani 27 elfu, katika vyuo vikuu ifikapo 2015 tutawatoa wapi?
 
shule zenye matundu ya vyoo watoto wana utulivu, ambapo hakuna vyoo wanafeli
shule ambako wazazi wanasupport elimu, wanafaulu ambapo hamna wanafeli
anapongeza walimu kwa kujitoa kufanya kazi
 
Back
Top Bottom