Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Tunaomba picha nyingene tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapelekeni shamba la Bibi
kapicha hako hako wanakasambaza wote. Afu wanatumia screenshot ya Ali Kamwe anayelipwa na mwamedi kwamba wamejaza kabla ya saa 8, Ali Kamwe amekuwa SI Unit yao.Hahahaha tunaomba picha jamani,haiwezekani tamasha kama hili liwe na picha moja tuu mitandaoni.
Kelele zimeshaanza sasaUnajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja.
Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki.
Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena.
Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza mpira wa burudani/biryani.
Mada ya kujaza uwanja tumeifunga Ieo rasmi.
Sasa tujadili mafanikio uwanjani na kwenye uongozi.
Utooooo [emoji23]
Acha ujinga mkuu.Hahahaha tunaomba picha jamani,haiwezekani tamasha kama hili liwe na picha moja tuu mitandaoni.
😀😀😀😀Ukiwa shabiki wa Yanga ukakumbuka Simba haina Chama na Luis Jose unakaa kimya tu huku ukijisemea muda utaongea huko mbele.
Una matatizo wewe sio bure unataka kusema unashindana na nani kuujaza uwanja, Yanga ilishatoka uko kwenye mambo madogo kama ayo ya kujaza uwanja labda mjadiliane na azam au namungo uko sio yanga, yanga inaweka rekodi zake na inazivunja yenyewe mnashindana na kivuli chenu kujaza uwanja sio yanga mzee, Pesa mliyowapa clouds na kina mwinjaku kuwapgia debe ni bora mngemlipaga manara mshahara wake maana imejionyesha dhahiri shairi kuna bugati mmoja tu Tanzania akiunguruma mnajikusanya kama kumi kujaribu kumfunika lakini wapi Sana sana ni kutumia nguvu kubwa kuwalipa watu tunajua tutazirudisha kwa kujaza matangazo kwenye jezi burr[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja.
Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki.
Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena.
Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza mpira wa burudani/biryani.
Mada ya kujaza uwanja tumeifunga Ieo rasmi.
Sasa tujadili mafanikio uwanjani na kwenye uongozi.
Utooooo [emoji23]