Mjadala wa kujaza uwanja ufungwe rasmi

Ticket ziliandaliwa 45,000 na zimeisha afu mnajisifu mmejaza uwanja. Hayo magep 15,000 tunayaona sana tu.
 
Hahahaha tunaomba picha jamani,haiwezekani tamasha kama hili liwe na picha moja tuu mitandaoni.
kapicha hako hako wanakasambaza wote. Afu wanatumia screenshot ya Ali Kamwe anayelipwa na mwamedi kwamba wamejaza kabla ya saa 8, Ali Kamwe amekuwa SI Unit yao.
 
Kelele zimeshaanza sasa
 
Studio tunaomba picha kutoka uwanja wa Mkapa tafadhali
 

Wewe Topolo Sikia Simba ni taasisi na hakuna kibaya kutumia event management company kufanya mambo yetu kiueledi zaidi. Tuliza mshono Topolo
 
Viti vya Orange apa chini havina watu, kama kunamtu kakosa nafasi atafute vilipo viti vya orange watakaa wote ata kama wapo mia auzaidi.Nafasi bado zopo za kutosha msiwatishe watu.
 
Oyaaa wakuu, huku kwenye mzunguko wa viti vya Orange kuna nafasi za kutosha asikutishe mtu njoo ukae huku na nafasi bado zipo nyingi sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ redio
 
Simba bana. Tunachoona kwenye Tv ni tofuati na picha uliyoleta. Mbwembwe nyingi Sana. Mjadala wataufunga Yanga wenyewe.
 
Msukule wao ulisema Simba haitaujaza uwanja eti kwa vile huo msukule uliamini wenyewe ndio ilikuwa sababu ya kuujaza uwanja.

Leo msukule umepigwa mshangao ukaandika eti tushindanie makombe na si kuujaza uwanja.
Msukule utarudi kwa aibu leo kutoka Nigeria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…