MJADALA: What went wrong and what went right with 2000s kids?

MJADALA: What went wrong and what went right with 2000s kids?

Salaam,

Ndugu zanguni sidhan kama ni mm pekee ndo nimeona hili. Hawa watoto wa 2000s -23 yrs old and below ukikuta kaharibika basi kaharibika sana (what went wrong?) na ukikuta anajielewa basi anajielewa zaidi ya mtu wa miaka 30 na alichokosa tu ni experience (what went right?)

Hapa mjini tunaona vijana wengi wa 23 yrs & below wakiongoza kujihusisha na mambo yasiofuata maadili kama vile utumiaji vilevi, umalaya na ushoga.

Lakini pia ukienda maofisini siku hizi unaweza kuta kijana mdogo lkn anjua vitu hadi anakera. Yaan ijumaa nilienda kumtembelea rafiki yangu pale Deloitte nimekutana na associate mmoja dogo dogo tu ila aisee the kid was bright. Na hii sio mara ya kwanza.

Watoto wa 2000s ni aidha anajielewa au kashapotea hakuna average, midrange.

So what went wrong and what went right?
Hawa watoto wa 2000s Na pia hawa wa 98 na 99 wak9 very bright kwakweli hili tusiwaseme jaman tuwape tu maua yao
 
Hakuna kingine zaidi ya utandawazi..watoto wamekua wana access ya mitandao katika umri mdogo wanalishwa mtiandaoni na kila kitu chake...hawachuji machicha na kuyatupa..wanachukua kila kitu as their role model...kwakweli tukubali tukatae ni utandawazi hasa haya mambo computerisation..internet etc..yameleta majanga makubwa hasa westernised cultures...
 
Na kuchagua kama ilivyo kwa binadamu wengine. Utakuta wewe wapenda móvie za action na mwingine za romance. Hiyo ndio hulka ya mwanadamu.
Ukiwapa options binadamu kila mtu atachagua yake. Sasa siku hizi wana options nyingi na kila mtu anachagua na wengi wanapenda options rahisi rahisi.
By the way kuna siku nilikuwa namwambia mtu kiwa mabinti wadogo sasa ni shida. Wanaona waliosoma wako mtaani hali ngumu, halafu walipacha shule wanajipost insta wako dubai wanasukuma mikoko mikali. We wadhani watachagua nini? Elimu maana waliosoma wengi wako hoiii
Sure thing...

Utandawazi umechangia pakubwa sana.
 
simba la masimba dangate we zhombie, apo dj anakoroga vile visidii vyake chokochokocho "ex na andazi nachagua andazi" chokochokochoko "ukiileta kwa wahumi tunaila na hatutoi chambi kwa utamu gani si ntaupata hata kwa sabuni" chokochoko.....wee zhombi haujui...
 
Umarekani mwingi vichwani umeua watoto Hadi mabraza na hii imepiga Hadi Vizee.

Imagine mtu Kuona Nelly kabandika kiplasta nae akaiga, Tupac katoboa pua nae yumo Nate Dogg kavaa cheni km Umbwa Yumo.

ila mabaraza na wazee maboko yao hawayaonagi.
#Kila mtu ni Malaika anaposema ya mwenzake.
FB_IMG_17010120831608930.jpg
 
ninachotaka niwafanye hawa mabraza walionizidi umli kwenye biashara mungutu ndio anajua.

ninanguvu Nina Ari Nina uwezo mkubwa Nina ujuzi mkubwa kilicho baki nikuwaburuza tuu nanishaanza kufanya hivyo.

maji wataita mma kwakweli.wanatuzarau sana sasa waachie Sisi vijana tutawafundisha.
Safi dogo
 
Salaam,

Ndugu zanguni sidhan kama ni mm pekee ndo nimeona hili. Hawa watoto wa 2000s -23 yrs old and below ukikuta kaharibika basi kaharibika sana (what went wrong?) na ukikuta anajielewa basi anajielewa zaidi ya mtu wa miaka 30 na alichokosa tu ni experience (what went right?)

Hapa mjini tunaona vijana wengi wa 23 yrs & below wakiongoza kujihusisha na mambo yasiofuata maadili kama vile utumiaji vilevi, umalaya na ushoga.

Lakini pia ukienda maofisini siku hizi unaweza kuta kijana mdogo lkn anjua vitu hadi anakera. Yaan ijumaa nilienda kumtembelea rafiki yangu pale Deloitte nimekutana na associate mmoja dogo dogo tu ila aisee the kid was bright. Na hii sio mara ya kwanza.

Watoto wa 2000s ni aidha anajielewa au kashapotea hakuna average, midrange.

So what went wrong and what went right?
Embu ngoja tumtag LIKUD
🤣🤣🤣🤣🤣
 
UTANDAWAZI

1. Hao wanaokengeuka kimaadili wamekuwa huru sana kuyaendea yale yasiyofaa. Uangalizi wa wazazi/walezi umekuwa wa kusua sua.

2. Hao wajuzi wa mambo ya maana utandawazi pia umewaexpose kwenye mambo yenye tija, elimu bora. Uangalizi wa wazazi/walezi umekuwa madhubuti.
 
Back
Top Bottom