MJADALA: What went wrong and what went right with 2000s kids?

Hawa watoto wa 2000s Na pia hawa wa 98 na 99 wak9 very bright kwakweli hili tusiwaseme jaman tuwape tu maua yao
 
Hakuna kingine zaidi ya utandawazi..watoto wamekua wana access ya mitandao katika umri mdogo wanalishwa mtiandaoni na kila kitu chake...hawachuji machicha na kuyatupa..wanachukua kila kitu as their role model...kwakweli tukubali tukatae ni utandawazi hasa haya mambo computerisation..internet etc..yameleta majanga makubwa hasa westernised cultures...
 
Sure thing...

Utandawazi umechangia pakubwa sana.
 
simba la masimba dangate we zhombie, apo dj anakoroga vile visidii vyake chokochokocho "ex na andazi nachagua andazi" chokochokochoko "ukiileta kwa wahumi tunaila na hatutoi chambi kwa utamu gani si ntaupata hata kwa sabuni" chokochoko.....wee zhombi haujui...
 
Safi dogo
 
Embu ngoja tumtag LIKUD
🤣🤣🤣🤣🤣
 
UTANDAWAZI

1. Hao wanaokengeuka kimaadili wamekuwa huru sana kuyaendea yale yasiyofaa. Uangalizi wa wazazi/walezi umekuwa wa kusua sua.

2. Hao wajuzi wa mambo ya maana utandawazi pia umewaexpose kwenye mambo yenye tija, elimu bora. Uangalizi wa wazazi/walezi umekuwa madhubuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…