adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Kwa akili hizi za kimsukule ,ndio Maana CCM unaendelea kuongoza mbumbumbu Tanzania , Huu upumbav ulioandika hapa ukienda kuongea Kwa raia WA nchi nyingine wanakuzaba makofi kabisa .Baba ni baba tu ata kama alimkimbia mama yako. Sasa huu ujinga wakumthamini mmoja na kumtupa mwingine umeanza lini? Hakuna vya sperm donor au sperm maji always baba ni baba tu.
Tambua bila huyu unaye muita sperm donor wewe usingelikuja duniani, Yeye ndo kakufanya uwe duniani. Sasa mafanikio kidogo tu una muita baba yako sperm donor na wakati mwingine muwe mnauliza mama zenu sababu za baba zenu kukimbia pengine mama zenu ndo chanzo.
Nawashauri wazee wenzangu mtoto akikupiga chini na wewe mpige chini tu. Alafu muachie Mungu, Na yeye watoto wake watamtupa chini hatakama aliwajali na kuwathamini.
Always ubaya hujirudia. Samehe ili na wewe usamehewe. Ndo maisha yalivyo.
Mlivyo wapuuzi ,mnazaa watoto mnawatelekeza bila kuwapa matunzo na malezi wanaishia kuwa vibaka ,watoto WA mitaani na watu WA ovyo na kutengeneza kizazi na jamii ya ovyo .Baba ni baba tu ata kama alimkimbia mama yako. Sasa huu ujinga wakumthamini mmoja na kumtupa mwingine umeanza lini? Hakuna vya sperm donor au sperm maji always baba ni baba tu.
Tambua bila huyu unaye muita sperm donor wewe usingelikuja duniani, Yeye ndo kakufanya uwe duniani. Sasa mafanikio kidogo tu una muita baba yako sperm donor na wakati mwingine muwe mnauliza mama zenu sababu za baba zenu kukimbia pengine mama zenu ndo chanzo.
Nawashauri wazee wenzangu mtoto akikupiga chini na wewe mpige chini tu. Alafu muachie Mungu, Na yeye watoto wake watamtupa chini hatakama aliwajali na kuwathamini.
Always ubaya hujirudia. Samehe ili na wewe usamehewe. Ndo maisha yalivyo.
Walioko Dar wote wanajua kuandika vizuri?Kwa mwandiko huo ndugu yangu kama hata Daslama umefika nitashangaa sana...
Hapana, wa Mpowora ndio wanajuaWalioko Dar wote wanajua kuandika vizuri?
Leo unataka kula nn nalipia mwenyewe mkuuKafuate watoto wako brother, acha kulalamika lalamika, ukizaa usitelekeze full stop!
Ajabu sanaNdo ushangae mi bond ya kukupenda tumetengeneza Saa ngapi sasa [emoji28]
Baba na mama waliokulea sio waliokimbia wakakuacha ukitanga tangaWapende baba na mama upate miaka mingi na kheri duniani
uhai anatoa Mungu na si mwanadamuHahahaahaaa
Pesa yako Ni ndogo Sana kuliko uhai aliokupa!
inategemea na huyo baba na huyo mama wamefanya yawapasayo kufanyaWapende baba na mama upate miaka mingi na kheri duniani