adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Njoo huku kwetu..wakati unaweka Kidudu chako uliwahi kuwaza majukumu yatokanayo na kidudu na kitumbua huleta nini?
Unajua kuwa Baba huanzia huko kwa masihara masihara.
Tunakimbia sana majukumu na kuna baadhi ya wanawake wanateseka sana kwa malezi ya watoto tuliowakimbia.
Unakutana na Kijana miaka 22 ana mke na masega 5 na huko kote ana watoto..matunzo ya kulenga kwa Manati..mahitaji ya watoto unafanya kuchungulia kama tundu la Choo.
Mwanaume(Baba) kama vile Dudu inavyosimama, pambana kusimama kwa familia yako, na hata ikivunjika kazi kiume lea na tunza watoto wako Damu yako.