Mjamzito afumaniwa akijamiiana hospitalini

Unawaona hawa wakaka wanaojipa ubini wa ma pastor pia? Utaskia son of Apostle nani sijui. Kila mtu anashinda mechi zake
ila wanawake wamekuwa wahanga zaidi, Pastor ana nafasi kubwa ya kusambaratisba ndoa .. wanawake wanawasikiliza wachungaji wao kuliko waume.. hata ukimuuliza chagua mie na pastor anamchagua Pastor
 
Mwanaume mmoja amemfumania mkewe aliye mjamzito akifanya mapenzi hospitalini alikokuwa amelazwa akitibiwa malaria.

Mwanamke huyo alilazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Apac nchini Uganda kwa siku tano na fumanizi hilo lilitokea mume alipomtembelea mkewe muda wa kuona wagonjwa.

Badala ya kupokelewa na sura ya maumivu yatokanayo na maradhi yanayomsumbua mkewe, mume huyo alimfuma mkewe akifanya kitendo hicho na kijana mdogo wa miaka 24 tu ambaye huchoma nyama mjini hapo.

Baada ya kufumaniwa, kijana huyo alikimbia wakati mume akiwa na mshangao wa alichokishuhudia lakini alikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi ambako amefunguliwa mashtaka aliyoyakiri.

Gazeti la Daily Monitor la nchini Uganda linaripoti kuwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Apac, Davis Ndaula amethibitisha kushikiliwa kwa kijana huyo ambaye aliwapa shida kesi ya kumfungulia lakini baada ya kutafakari akashtakiwa kwa kusababisha kero kwa umma kwa kitendo alichokifanya katika wodi ya wanawake hospitalini hapo.

“Mume wa huyu mwanamke alikuja kumjulia hali mkewe aliyelazwa hospitalini kwa siku tano lakini akamfumania akiwa na kijana huyo wakijamiiana kwenye kitanda cha hospitali,” amesema shuhuda ambaye hakutaka kutajwa jina.

Mwananchi [emoji2398] 2023

Hiyo inaitwa Sugunyo.
 
Mganda na Muhaya ni jamii ileile tu, ndio maana Iddi Amini alidai mkoa wa Kagera ni sehemu ya uganda kwasababu Wahaya na Waganda wanayo asili moja, Lugha ya kiganda na kihaya ni sawa na American English na British English.
Labda uganda iliyopakana na tz kwa wanyankole kule kiganda cha kati mpk kuelekea Sudan kusini hakiingiliani na kihaya kabisaaa,

Ndio wana asili moja lakini niamini mganda kwa kupenda chini muhaya bado mwanafunzi
 
ila wanawake wamekuwa wahanga zaidi, Pastor ana nafasi kubwa ya kusambaratisba ndoa .. wanawake wanawasikiliza wachungaji wao kuliko waume.. hata ukimuuliza chagua mie na pastor anamchagua Pastor
Si kama nyie mlivyoamua kwenda kuzaa na michepuko.🤷🏽‍♀️ saizi kila mtu anashinda mechi zake kikubwa amani ya moyo😃
Kulia kupokezana
 
Mganda na Muhaya ni jamii ileile tu, ndio maana Iddi Amini alidai mkoa wa Kagera ni sehemu ya uganda kwasababu Wahaya na Waganda wanayo asili moja, Lugha ya kiganda na kihaya ni sawa na American English na British English.

Sasa Kama ni hivyo mbona ni tofauti sana?
IMG_5989.jpg

IMG_5988.jpg

American English na British English?
 
Mwanaume mmoja amemfumania mkewe aliye mjamzito akifanya mapenzi hospitalini alikokuwa amelazwa akitibiwa malaria.

Mwanamke huyo alilazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Apac nchini Uganda kwa siku tano na fumanizi hilo lilitokea mume alipomtembelea mkewe muda wa kuona wagonjwa.

Badala ya kupokelewa na sura ya maumivu yatokanayo na maradhi yanayomsumbua mkewe, mume huyo alimfuma mkewe akifanya kitendo hicho na kijana mdogo wa miaka 24 tu ambaye huchoma nyama mjini hapo.

Baada ya kufumaniwa, kijana huyo alikimbia wakati mume akiwa na mshangao wa alichokishuhudia lakini alikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi ambako amefunguliwa mashtaka aliyoyakiri.

Gazeti la Daily Monitor la nchini Uganda linaripoti kuwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Apac, Davis Ndaula amethibitisha kushikiliwa kwa kijana huyo ambaye aliwapa shida kesi ya kumfungulia lakini baada ya kutafakari akashtakiwa kwa kusababisha kero kwa umma kwa kitendo alichokifanya katika wodi ya wanawake hospitalini hapo.

“Mume wa huyu mwanamke alikuja kumjulia hali mkewe aliyelazwa hospitalini kwa siku tano lakini akamfumania akiwa na kijana huyo wakijamiiana kwenye kitanda cha hospitali,” amesema shuhuda ambaye hakutaka kutajwa jina.

Mwananchi [emoji2398] 2023
Jamaa analea mimba ya watu hapo.
 
Back
Top Bottom