Mjamzito afumaniwa akijamiiana hospitalini

Duuh wanawake hawa. Na bado mnaoa tu!!
 
Mwanamke kiasili anacheo Cha kijeshi Cha kepten

Haijalishi kapita jeshi au laa!
 
Labda uganda iliyopakana na tz kwa wanyankole kule kiganda cha kati mpk kuelekea Sudan kusini hakiingiliani na kihaya kabisaaa,

Ndio wana asili moja lakini niamini mganda kwa kupenda chini muhaya bado mwanafunzi
Kupenda ngono ni tabia za MTU na sio kabila nchi au mkoa .

MTU mweusi popote alipo duniani anausudu ngono
 
Ni mzima kabisa mihemkoo tu..hata wewe unaweza jikuta kwenye situation kama hizo siku moja.
 
Kwangu mimi haiwezeka
Ni mzima kabisa mihemkoo tu..hata wewe unaweza jikuta kwenye situation kama hizo siku moja.
Kwangu mimi haiwezekani.

Tamaa za mapenzi hazinimalizi akili na kunipotezea ufahamu.

Huzibeba kama kojo, ambapo likinibana siwezi kuliachilia hadharani ilimradi tu eti nimebanwa.

Lazima nitafute sehemu ya falagha kukojolea.

Huo mfano nimetoa kuonesha kuwa mapenzi hayawezi kunipanda kichwani, hadi nikadhalilika, nitayafanya pindipo kuna nafasi na falagha ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…