M2 Makini Member Joined Dec 19, 2014 Posts 93 Reaction score 33 Nov 5, 2015 #1 Habari wana jf, Naomba kuuliza ni madhara gani anayoweza kupata mama mjamzito au mtoto aliye tumboni ikiwa mama ametumia piriton bila ushauri wa daktari na pia amekula samaki aina ya papa na tunda la nanasi?
Habari wana jf, Naomba kuuliza ni madhara gani anayoweza kupata mama mjamzito au mtoto aliye tumboni ikiwa mama ametumia piriton bila ushauri wa daktari na pia amekula samaki aina ya papa na tunda la nanasi?