Mjamzito: Ametumia dawa na kula samaki

Mjamzito: Ametumia dawa na kula samaki

M2 Makini

Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
93
Reaction score
33
Habari wana jf,

Naomba kuuliza ni madhara gani anayoweza kupata mama mjamzito au mtoto aliye tumboni ikiwa mama ametumia piriton bila ushauri wa daktari na pia amekula samaki aina ya papa na tunda la nanasi?
 
Back
Top Bottom