mtoto kufanya nn? hamna tatizo, dogo ashafungiwa kwenye ukumbi wake na hamna kinachomgusa kutika nje....yupo sterile kabsaaa.
mtoto kufanya nn? hamna tatizo, dogo ashafungiwa kwenye ukumbi wake na hamna kinachomgusa kutika nje....yupo sterile kabsaaa.
<br />Lakini mbona wangu huwa anasikia maumivu makali wakati na du, nini huwa inasababisha
Lakini mbona wangu huwa anasikia maumivu makali wakati na du, nini huwa inasababisha
samahan mm ni mgen kidogo kwny hili hauwez sijui kusababisha mtoto kufanya nini sijui
mhh na wewe mtoto hafanyi lolote wala haihusiani we peleka mzigo tu
Lakini mbona wangu huwa anasikia maumivu makali wakati na du, nini huwa inasababisha
Weka masikio na vimiguu wewe acha kumnyima virutubisho dogo ila style uwe makini si ya baba na mama
ile mbuzi mnadani ndo inafaa au?