taratibu mama tuko pamojaUnafanya kimtindo na wewe bana acha mwishowe nitukane hapa nipigwe BAN mie sitaki bana ha ha hha ha ha ha USIJIBU tena bana nini lakini wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
taratibu mama tuko pamojaUnafanya kimtindo na wewe bana acha mwishowe nitukane hapa nipigwe BAN mie sitaki bana ha ha hha ha ha ha USIJIBU tena bana nini lakini wewe
Lakini mbona wangu huwa anasikia maumivu makali wakati na du, nini huwa inasababisha
Wana Jf habare za wiki end ninaomba msaada wetu tafaradh mana leo hasubuh hasubuh nimepokea simu ya mshikaji wangu au best yangu akiniuliza eti hajafanya makosa kufanyanae mapenz mke wake bila kutumia condom mana mkewe ni mjamzito wa miezi minne sasa. Na miezi yote ya nyuma alikuwa anatumia condom katika tendo je? Kufanya hvyo hajafanya makosa. Ushauri wenu tafadhar mana hata mm nimeshindwa kumjibu vizur mana ninasikiaga mkeo akiwa mjamzito kunakuwa na hili mara lile hebu msaada wenu tafadhar?