Mwinyi_tza
Member
- Oct 9, 2018
- 23
- 5
Sawa mkuu, ingekuwa nyema kama ungem'quote mleta mada maana ndio anayehitaji msaada.Sometime mama mjamzito anaeza akawa na upngufu wa aminionic fluid ambayo inapelekea mtoto baadala ya kukua tumboni kwa mama anapungua ukuaji akiwa tumboni tatizo hilo linaitwa kitaalamu oligohydromnios"