Mjamzito Kutokwa Majimaji / Damu Kdg inaweza kuathiri Ujauzito Usikue ??

Mjamzito Kutokwa Majimaji / Damu Kdg inaweza kuathiri Ujauzito Usikue ??

Mwinyi_tza

Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
23
Reaction score
5
Wakuu poleni na Majukumu, hivi Mama mjamzito kutokwa Majimaji yasio na harufu au damu kiasi inaweza kuathiri ujauzito Usiendelee kukua....hasa mimba changa?

Tatizo hili limemtokea shemeji yangu

Alipima ultra sound Mara ya kwanza ikaonekana ujauzito una wiki Sita baada ya Miezi moja akaenda kupima tena Ujauzito ikaonekana ume drop hadi wiki nne.

Je hapo kitalaamu imekaaje?
 
daaa yani wiki za ujauzito zimedrop huyo sonographer mungu anamuona.
Poleni lakini. Cha msingi ni mama shemeji azijue dalili za hatari za ujauzito (wanafundishwa clinic zao), hivyo akiona chochotr hakiendi sawa anatakiwa kuwahi hospitali. Hiyo damu huenda tukachukilia kawaida kumbe ni nyingi, hivyo akijieleza vyema kwa daktari anaweza kujua namna ya kumsaidia
 
Aisee. Wiki zinapungua za ujauzito?!?! Sijawahi kusikia.

Umenikumbasha maswala ya Time travel na Speed ya mwanga
 
Sometime mama mjamzito anaeza akawa na upngufu wa aminionic fluid ambayo inapelekea mtoto baadala ya kukua tumboni kwa mama anapungua ukuaji akiwa tumboni tatizo hilo linaitwa kitaalamu oligohydromnios"
Sawa mkuu, ingekuwa nyema kama ungem'quote mleta mada maana ndio anayehitaji msaada.
 
Kaka wahi muwahishe hospital huyo mwenzi wako, kuna dalili ya kumpoteza mtoto alie tumboni na ukichelewa zaidi utampoteza na huyo mama
 
Back
Top Bottom