King'sti uko wapi mda mrefu ujasikika
Pambana tu maana hata hatujui ya mbeleni.Nipo mchunga kondoo.
Napambana na hali yangu
Mkuu mke wangu tumbo linauuma, inaweza kuwa sababu ya ujauzito pia? Kiuno pia huwa kina muumaMpe Pole Ni kawaida kwasababu ya kusupport uzito WA mtoto,Mimi niliumwa kiuno na haswa upande wa kushoto mpka mguu kunyanyua ilkuwa kazi naburuza, Kuwa mama sio mchezo mwambie avumilie
Mpe Pole Ni kawaida kwasababu ya kusupport uzito WA mtoto,Mimi niliumwa kiuno na haswa upande wa kushoto mpka mguu kunyanyua ilkuwa kazi naburuza, Kuwa mama sio mchezo mwambie avumilie
Mie sitaki kukumbuka natoka labour najiburuza nawaza sijui ndo ntabakia hivi hivi wakaniambia utakuwa vizuri siamini kabisa ila baada ya muda mzima kabisa, Shikamoo Mimbahahahaha aisee !mie nilipojifungua mguu wa kushoto ulikufa kbs ganz km miez 2 nikawa natembea kama gari imekata centreborit !dah !
Inawezekana ajitahidi kupumzika vya kutoshaMkuu mke wangu tumbo linauuma, inaweza kuwa sababu ya ujauzito pia? Kiuno pia huwa kina muuma
Ahsante sanaInawezekana ajitahidi kupumzika vya kutosha
Pambana tu maana hata hatujui ya mbeleni.
Aithee Hongeramimba ya twins ya mwezi tu au hata wiki tatu unaanza kuumwa kiuno kama cha periods, unaweza sema utableed, itadumu kama kwa wiki 3 au mwezi then inapotea, ingekuwa ya umri huo ningekwambia mpeleke akafanye ultra sound yaweza kuwa ni pregnancy ya twins, niliumwa hivyo wakati mimba haikuwa hata na mwezi, nilipofanya ultra sound ndio kugundua kuwa ni ya twins, na wamama wengi wenye twins watakubaliana na mimi hapa! ila si neno, mpeleke kwa dr, utajua tatizo, nawatakia kila lililo la heri, tk cr of her, she needs u now than never before!