Mjamzito kuumwa kiuno inasababishwa na nini na matibabu yake, Naombeni msaada please?

Mjamzito kuumwa kiuno inasababishwa na nini na matibabu yake, Naombeni msaada please?

Mpe Pole Ni kawaida kwasababu ya kusupport uzito WA mtoto,Mimi niliumwa kiuno na haswa upande wa kushoto mpka mguu kunyanyua ilkuwa kazi naburuza, Kuwa mama sio mchezo mwambie avumilie
 
Mpe Pole Ni kawaida kwasababu ya kusupport uzito WA mtoto,Mimi niliumwa kiuno na haswa upande wa kushoto mpka mguu kunyanyua ilkuwa kazi naburuza, Kuwa mama sio mchezo mwambie avumilie
Mkuu mke wangu tumbo linauuma, inaweza kuwa sababu ya ujauzito pia? Kiuno pia huwa kina muuma
 
hesabu rahis tu uzito unaongezeka !na itazid sana akifika 7 months !kwakweli sipend ht kukumbuka !apumzike vya kutosha
 
Mpe Pole Ni kawaida kwasababu ya kusupport uzito WA mtoto,Mimi niliumwa kiuno na haswa upande wa kushoto mpka mguu kunyanyua ilkuwa kazi naburuza, Kuwa mama sio mchezo mwambie avumilie

hahahaha aisee !mie nilipojifungua mguu wa kushoto ulikufa kbs ganz km miez 2 nikawa natembea kama gari imekata centreborit !dah !
 
hahahaha aisee !mie nilipojifungua mguu wa kushoto ulikufa kbs ganz km miez 2 nikawa natembea kama gari imekata centreborit !dah !
Mie sitaki kukumbuka natoka labour najiburuza nawaza sijui ndo ntabakia hivi hivi wakaniambia utakuwa vizuri siamini kabisa ila baada ya muda mzima kabisa, Shikamoo Mimba
 
mimba ya twins ya mwezi tu au hata wiki tatu unaanza kuumwa kiuno kama cha periods, unaweza sema utableed, itadumu kama kwa wiki 3 au mwezi then inapotea, ingekuwa ya umri huo ningekwambia mpeleke akafanye ultra sound yaweza kuwa ni pregnancy ya twins, niliumwa hivyo wakati mimba haikuwa hata na mwezi, nilipofanya ultra sound ndio kugundua kuwa ni ya twins, na wamama wengi wenye twins watakubaliana na mimi hapa! ila si neno, mpeleke kwa dr, utajua tatizo, nawatakia kila lililo la heri, tk cr of her, she needs u now than never before!
Aithee Hongera
 
Back
Top Bottom