Mjamzito mie leo nilikuwa na hamu ya kula vitumbua....

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,970
Reaction score
35,168
Kwa hali yangu hii ya ujauzito, leo nimeamka na hamu kubwa ya kula vitumbua.
Nimepita kwa mama mchoma vitumbua (vizuri sana), nimemsalimia, hakuitikia, nikaona isiwe shida. Kwa kuwa najua bei ya vitumbua ni Tshs.200/= kwa kitumbua kimoja sikuwa na haja ya kuuliza bei bali nikamwambia anipatie vitumbua viwili (2), akanijibu tena bila kuniangalia usoni, "S I U Z I". Nikabaki mdomo wazi, kwa pembeni alikuwepo kijana akanionea huruma, akaniambia kuwa hivyo vitumbua vyote nimevinunua napeleka hotelini. Nikamwambia basi niuzie kwa bei ya hotelini, akakubali akaniuzia vitumbua 2 kwa Tshs.1,000/=.

Hivi wafanya biashara ndogondogo wa jiji letu hili la Mongela kwanini mnakuwa na lugha ambayo haina mvuto kwa mteja? Nimebaini hilo tatizo siku nyingi, watu wa huku akiona biashara yake imeshamiri anakuwa na kiburi kwa wateja, hawajui kumshikilia mteja mpaka point ya mwisho.

Elimu ya Ujasiriamali hasa kipengele cha kutafuta masomo, kubuni mradi, kumhudumia mteja ni muhimu sana kwa watu hawa.

Hii habari nitaiendeleza baadae ngoja kwanza nimuone Dr. anipime mapigo ya mtoto wangu tumboni.
 
Uuwiiiii leo wewe ni ke??mbona makubwa haya tenamjamzitoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Msamehe mwanamke mwenzako, alikuwa ana stress za maisha yake, inatokea
 
Hahaa. Mie sina hali kama yako ila umenikumbusha sehemu moja hivi nilienda kwa lengo la kununua maziwa yale ya jumla yanayotoka sehemu mbalimbali huwezi amini nimefika pale kumbe wale wachuuzi wadogo wameyanunua na wana wateja wao maalum nilipofika pale kila ninayemuuliza ananiambia SIUZI na ukiangalia maziwa wanayo.

Wanakera sana hao aisee sa sijui kuna shida gani kumjibu mtu kistaarabu na akawaelewa ni gharama gani. Inabidi wabadilike aisee.
 
Uuwiiiii leo wewe ni ke??mbona makubwa haya tenamjamzitoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja nikuweke ignore list maana kuna comment kule nilikujibu kuwa uache kuja ma ID lundo humu JF. Wewe ni HR 66, The List, Joji pola, Yeezus, CURRICULUM, sasa Jumapili umefungua tena hii teketeke. Halafu kule nilikuambia hivi, katika watu ninaowachukia JF wewe ni namba moja, NAKUOMBEA UFE. Sijawahi kumuombea mtu kifo, lakini wewe nakuombea ugongwe na gari hata muda huu ufe hapo hapo hapo. NAKUCHUKIA SANA HR 66 ambaye kwa sasa umejiita teketeke
 
Msamehe mwanamke mwenzako, alikuwa ana stress za maisha yake, inatokea
Hapana huku watu hawana kauli nzuri kwa wateja kabisa, hasa akishaona biashara yake imechanganya basi anakuwa na kiburi
 
Mchoma vitumbua amepata kiburi baada ya kupata tenda ya hotelini.Siku tenda ikisimama ndio ataanza kujichekesha kwa watu mtaani
Anasahau kuwa kuna leo na kesho
 
Uuwiiiii leo wewe ni ke??mbona makubwa haya tenamjamzitoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nahuja ni mwanamke wa kipare. Sifa yao moja ni utelezi uliotukuka na mimba ni chap chap kutokana na kuwa na kina kifupi chembamba.
 
Lugha ya biashara hawana kabisa. Sio siri elimu ya masoko ni muhimu kwa hawa wafanyabiashara ndogondogo.
 
Nahuja ni mwanamke wa kipare. Sifa yao moja ni utelezi uliotukuka na mimba ni chap chap kutokana na kuwa na kina kifupi chembamba.
Achana na huyo mbwa. amezoea sana kunitafuta hadi tunatukanana napigwa BAN. kuna kipindi alianzisha uzi kwamba mimi, MBITIYAZA na Miss Natafuta ni wanaume. huyo ni HR 66, The list, CURRICULUM, Yeezus, Jojipola na ma ID yake mengine lundo, sio kwamba ni mtu wa maana hapana.
 

Itabidi unipe hii teknolojia ya kujua multiple ID.
 
Hata mm imewahi nitokea, nilienda kununua plain papers,katika ya stationary ya criss madesa ilyopo karibu na chuo cha duce, naona kuna mabox mengi ya ream yapo ,naambiwa SIUZI, wakati juzi yake nilinunua hapo,( nilichoka aiseee)
 
Itabidi unipe hii teknolojia ya kujua multiple ID.
Huyo ambaye amejiita teketeke nimekwambia ndio huyu huyu mwenye ID hizo za The List, HR 66 na nyinginezo nyingi humu JF. Hiyo kaifungua juzi Jumapili.
 
Hata mm imewahi nitokea, nilienda kununua plain papers,katika ya stationary ya criss madesa ilyopo karibu na chuo cha duce, naona kuna mabox mengi ya ream yapo ,naambiwa SIUZI, wakati juzi yake nilinunua hapo,( nilichoka aiseee)
Hivi hili neno "siuzi" hawajui kuwa linaweza kuwapotezea mteja. Mteja mwingine atajua kuwa hapo hiyo biashara haipo tena.
 
Poleee yako mwanaume wewe.maana hivyo unavyoviongea hata sivielewi[emoji23] [emoji23] [emoji23] au ndio unachizi??wanaume wenzio wanafanya kazi uko nje.wewe wajibadiri jinsia JF.uwiiiii haya basi nimekubar una mimba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…