Kweli kabisa Dada inahitajika kwao japokuwa dharau wanazipata kutokana na kuwa na wateja wa uhakika hivyo sisi wa mara moja kwa wiki au mwezi wanaona si mteja.Lugha ya biashara hawana kabisa. Sio siri elimu ya masoko ni muhimu kwa hawa wafanyabiashara ndogondogo.
Halafu Yeth mchokozi.ni Baba ntilie huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani wewe si ni mama ntilie
Nashukuru umejibu sasa naku ignore, umenichosha kunileta BAN. Ila ushauri wa bure, punguza kufungua ID zimekuwa nyingi mno. Kwani ile ID yako nyingine ya The List wameifungia? ukinijibu hapa nakuignore rasmi. Utanipata tena kwa ID mpya utakayofungua. ILA NAKUCHUKIA SANA NAKUOMBE UFE HATA DAKIKA HII. TENA NAKUOMBEA UGONGWE GARI AU HATA RISASI au ATOKEE MTU AKUWEKEE SUMU UFE. SIKUPENDI KABISAPoleee yako mwanaume wewe.maana hivyo unavyoviongea hata sivielewi[emoji23] [emoji23] [emoji23] au ndio unachizi??wanaume wenzio wanafanya kazi uko nje.wewe wajibadiri jinsia JF.uwiiiii haya basi nimekubar una mimba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inakera sana aisee. Na wengine hata sio kwamba ana wateja maalum bali anakuwa tu kaamka vibaya siku hiyo.Hata mm imewahi nitokea, nilienda kununua plain papers,katika ya stationary ya criss madesa ilyopo karibu na chuo cha duce, naona kuna mabox mengi ya ream yapo ,naambiwa SIUZI, wakati juzi yake nilinunua hapo,( nilichoka aiseee)
hahahahhaahhah, biashara inategemea na mazingira kuna mikoa mingine mfano Kilimanjaro wanajua sana kushawishi mtu hadi unanunua bidhaa zake lakini huku Mwanza uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!Kweli kabisa Dada inahitajika kwao japokuwa dharau wanazipata kutokana na kuwa na wateja wa uhakika hivyo sisi wa mara moja kwa wiki au mwezi wanaona si mteja.
Ila Dada walinikera sana hadi nikatamani kama hao wateja wake anawapandishia bei why na mie asinipandishie tu sababu nilikuwa nayahitaji mi pia.
Tatizo lingine ni kwamba watoa elimu wengi wamelenga katika kufundisha uzalishaji tu, kwa mfano SIDO wanafundisha zaidi uzalishaji lakini hawatoi elimu ya kufanya biasharaShida elimu ya ujasiriamali hawana!!;
Umeonaeee. Na hawajuagi kuiacha pesa.hahahahhaahhah, biashara inategemea na mazingira kuna mikoa mingine mfano Kilimanjaro wanajua sana kushawishi mtu hadi unanunua bidhaa zake lakini huku Mwanza uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!
Heehhheeiyaaaaaa sijui nikuite shooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]?? unaandika kama ume kunywa viroba mpaka nakuonea huruma.yaani umechizi kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .ushaur wa bure kwako acha kubadiri jinsia.wanaume wenzio wanatafuta kwa jasho wewe unataka ule kwa kuji-delicious.[emoji23] [emoji23] [emoji23].shaurilo[emoji108] [emoji108] [emoji108]Nashukuru umejibu sasa naku ignore, umenichosha kunileta BAN. Ila ushauri wa bure, punguza kufungua ID zimekuwa nyingi mno. Kwani ile ID yako nyingine ya The List wameifungia? ukinijibu hapa nakuignore rasmi. Utanipata tena kwa ID mpya utakayofungua. ILA NAKUCHUKIA SANA NAKUOMBE UFE HATA DAKIKA HII. TENA NAKUOMBEA UGONGWE GARI AU HATA RISASI au ATOKEE MTU AKUWEKEE SUMU UFE. SIKUPENDI KABISA
Hasa hapa kwetu kwenye jiji letu hili.Wafanyabiashara wengi wapo hivyo ukienda ndo kwanzaaa anakushusha jicho hilo. Ulizia sasa kitu cha bei ndogo anaweza kwambia hakipo wakati kipo na unakiona
hhaahhhah, ujauzito raha, hiyo ID mpya nimesha mblock ni mwehu yule ambaye anapenda kuudhi watu humu. The List, HR 66 na ma ID yake mengine mengi. Zamani kabla sijamjua nilikuwa natukanana naye hadi ninapigwa BAN. Kwasasa nimeshamjua hivyo namu ignore. yaani hata akifungua ID nyingine sasa hivi namjua mwandiko wake.Kipindi kigumu cha ujauzito na kupatwa kwa ID mpya....
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππHe he he he
Yaani shida yoote hii ya kukutana na wauza vitumbua wenye lugha chafu kaisababisha dereva boda boda.
Kwa nini kakufanya vibaya hivyo huyo dereva???
Asingekupa mimba usingehaingaika na mavitumbua asubuhi asubuhi.
Yaani nina hasira na huyo dereva huyo, kuliko mama muuza vitumbua.
he he he heππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Hahah!! sawa sawa.....hhaahhhah, ujauzito raha, hiyo ID mpya nimesha mblock ni mwehu yule ambaye anapenda kuudhi watu humu. The List, HR 66 na ma ID yake mengine mengi. Zamani kabla sijamjua nilikuwa natukanana naye hadi ninapigwa BAN. Kwasasa nimeshamjua hivyo namu ignore. yaani hata akifungua ID nyingine sasa hivi namjua mwandiko wake.