Mjamzito mie leo nilikuwa na hamu ya kula vitumbua....

Elewa hali ya mwenzako, ana hasira za kunyonywa! Imagine unga wake, mafuta yake, hamira yake, mkaa wake na vitendea kazi vingine vyote vyake ila kila kitumbua anakiuza kwa 200/=. Mwingine yeye gharama yake ni usafiri tu, kitumbua hicho hicho anakiuza 500/= yaani anapata faida kama asilimia 150 kwa kitumbua. Si ajabu huyo mama kupata ghadhabu.
 
Mwanza na sehemu zingine kanda ya ziwa huwa lugha yao kwenye biashara haina mvuto kwa mteja.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

MIMBA YAKO NAONA INAMCHUKIA JAMAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaaha, mimba huwa hazichukii mtu, wajawazito wanajiendekeza tu. hahahahahaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…