Mjamzito wa miezi Sita kuvusha wiki moja kwenye tarehe ya clinic aliyopangiwa kuna madhara?

PAMAGE

Senior Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
150
Reaction score
85
Habari za asbuhi wapendwa, kama mada ilivyo hapo juu. Ninasafari kikazi nje ya mkoa ambay itanichukua zaidi ya cku kumi ambapo ndani ya hizo siku trhe yangu ya clinc itatimia na kupita kama wiki hv
Sasa mi nauliza je, kutakuwa na shida nitakapoenda baada ya wiki moja mbel?
Wajuzi nijuzeni
Nawasilisha
 
Hakuna shida au jitahidi ubebe kadi utaenda clinic za huko unakoenda.
 
Hakuna shida, mwenyewe nimevusha wiki mbili kwa vile nilikuwa sehem nyingine kwa majukum ya kiofisi
 
Hamna shida.. Tho safari si nzuri kwa mjamzito hasa zile za vijijini kwenye makorongo korongo..
 
Ulivyoenda clinic hawaku fokea? Manes
Wala hawakuwa na shida kbs, waliniuliza tu mbona siku zilipitiliza nikawaambia nilikuwa safarini kwenye majukum ya kiofisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…