A AmbaB Member Joined Sep 1, 2016 Posts 51 Reaction score 27 Mar 28, 2018 #1 Jamii, Naombeni mnijuze eti mwanamke akiwa na mimba ya wiki 28 anaweza safiri zaid ya km 600? au je ni mimba ya muda gani /mwisho muda gani kuwa salama kwa safari ndefu?
Jamii, Naombeni mnijuze eti mwanamke akiwa na mimba ya wiki 28 anaweza safiri zaid ya km 600? au je ni mimba ya muda gani /mwisho muda gani kuwa salama kwa safari ndefu?
RICH GANG LIFESTYLE JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 256 Reaction score 192 Mar 28, 2018 #2 Mimba ya miaka 3 ndio tatizo
A AmbaB Member Joined Sep 1, 2016 Posts 51 Reaction score 27 Mar 29, 2018 Thread starter #3 RICH GANG LIFESTYLE said: Mimba ya miaka 3 ndio tatizo Click to expand... sawa bhna ila nna maana nzuri tu kuuliza,hapa ni health centre
RICH GANG LIFESTYLE said: Mimba ya miaka 3 ndio tatizo Click to expand... sawa bhna ila nna maana nzuri tu kuuliza,hapa ni health centre
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 29, 2018 #4 Landa kama hiyo barabara ni full lami na hana complications zozote