MJAMZITO

MJAMZITO

AmbaB

Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
51
Reaction score
27
Jamii,
Naombeni mnijuze eti mwanamke akiwa na mimba ya wiki 28 anaweza safiri zaid ya km 600? au je ni mimba ya muda gani /mwisho muda gani kuwa salama kwa safari ndefu?
 
Landa kama hiyo barabara ni full lami na hana complications zozote
 
Back
Top Bottom