Mjamzito

Ruth Benson

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
9
Reaction score
2
Mimi nina ujauzito wa week 38 nasumbuliwa sana na maumivu ya chini ya kitovu kama period vile, kiuno na mgongo pia na kutokwa na ute mweupe mara kwa mara! Pia naomba kujua ni mazoezi ya aina gani yatafaa kwa kipindi hiki. Ahsante
 
Your almost there.Unaonekana Kama your baby anataka kutoka .Pole Sana vimilia
 
Hiyo hali ni normal......

Hiyo maumivu kama ya period ni kawaida wanaita braxton contraction (fake labor) na vaginal discharge pia ni normal kabisa

Walking ni mazoezi mazuri sana kwa wajawazito jitahidi kutembea walau 30 minutes kwa siku.....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mgeni anakaribia kufika airport.

Jiandae kumpokea mda wowote.
 

Thanx sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…