Ruth Benson
Member
- Feb 24, 2014
- 9
- 2
Mimi nina ujauzito wa week 38 nasumbuliwa sana na maumivu ya chini ya kitovu kama period vile, kiuno na mgongo pia na kutokwa na ute mweupe mara kwa mara! Pia naomba kujua ni mazoezi ya aina gani yatafaa kwa kipindi hiki. Ahsante