Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Baada ya uchunguzi wa kamati iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika sakata la nyumba, Alice Haule aliyedaiwa kuvamiwa na watu waliotaka aondoke kwenye nyumba hiyo kuwa iliuzwa na marehemu mumewe, ripoti ya kamati hiyo leo imebanisha kuwa nyumba hiyo ilikuwa mali halisi ya ndoa na ule mkopo aliyochukua mume wake haukuhusisha nyumba bali ulikuwa mkopo wa fedha.
Mkoa Albert Chalamila ametoa onyo kali kwa Mohamed Yusufally ambaye ameelezwa yuko Afrika Kusini kwenye Matibabu kuacha kutumia makundi na kwamba amemtaka arejee nchini kwaajili ya mahojiano zaidi na asipofanya hivyo serikali itatumia mbinu zote kumpata.
Soma:

- Mjane wa Justice Rugaibula avamiwa, atolewa kwenye nyumba aliyoachiwa na mumewe pamoja na wapangaji wengine
- Waziri Ndejembi aagiza mjane kukabidhiwa nyumba yake ndani ya siku 14