Curtis De Mi Amor
Senior Member
- Jan 9, 2022
- 136
- 514
Matrimonial home ni nyumba ya mke na mume, mume akifa mke anahaki ya kuleta mwanaume mwengine kama ambavyo mwanaume ana haki hiyo mke akifa. Lakini kwenye angle ya kimaadili nakubaliana na wewe.Kurithiwa kulishapitwa na wakati, kumleta Mwanaume kwenye hiyo Nyumba ni marufuku labda wakaishi sehemu nyingine hapo wabaki Watoto.
Wanawake wengine ni wehu hawana akili. Nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe ndio anataka apeleke mwaume mwingine hayanaga akili haya maviumbe, lihamie kwa huyo fala wake mpyaKurithiwa akatae kabisa lakini pia kumleta mwanaume Kwenye nyumba uliyoachiwa na marehemu SI haki
Yeah,ndivyo inavyopaswa.Umepata Mpenz akupeleke kwake siyo umlete Kwenye nyumba ya marehemu.Tunakosea sanaWanawake wengine ni wehu hawana akili. Nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe ndio anataka apeleke mwaume mwingine hayanaga akili haya maviumbe, lihamie kwa huyo fala wake mpya
Ni kukosa adabu na heshima kwa mumewe alie tangulia hata familia kwa ujumla. Nae huyo mwanaume anae enda hapo kuishi hana akili ana mavi kichwani ni kipimo tosha huyo jamaa ni bomu sasa wamekutana wote machiziYeah,ndivyo inavyopaswa.Umepata Mpenz akupeleke kwake siyo umlete Kwenye nyumba ya marehemu.Tunakosea sana
Yanakubali mbonaHuyo mwanaume atakayeletwa hapo na akakubali litakuwa jinga sana.
Vijana wengi wanapenda kamsererekoNi kukosa adabu na heshima kwa mumewe alie tangulia hata familia kwa ujumla. Nae huyo mwanaume anae enda hapo kuishi hana akili ana mavi kichwani ni kipimo tosha huyo jamaa ni bomu sasa wamekutana wote machizi
Kurithiwa akatae kabisa lakini pia kumleta mwanaume Kwenye nyumba uliyoachiwa na marehemu SI haki
Kijana akiisha anza penda miserereko yupo mbioni kuolewa huyo hata na mwaume mwenzake, mavijana mengine hasara sanaVijana wengi wanapenda kamserereko
Yeah,Hapo anakuwa amecheza kama peleMbinu ni kupangisha kisha yeye akapange nyumba nyingine ili aishi na bwana wake
Litakuwa JINGA. Hamna mwanaume hapo.Yanakubali mbona
Huyo mwanamke malaya malaya tu, wajane ambao walikuwa waaminifu na kuwapenda waume zao haswaa, huwezi kuta anaolewa tena au kuwa na mwaume mwingine. Huyo malaya huenda hata alikuwa ana mcheat mume wake kipindi yupo hai na huyo mwanaume wake mpyaMbinu ni kupangisha kisha yeye akapange nyumba nyingine ili aishi na bwana wake