Mjane amegoma kurithiwa na shemeji yake!

Mjane amegoma kurithiwa na shemeji yake!

kuhusu boya wake ni maamuzi mali zake zikipotea atajiju ,mambo ya kurithiwa ni ujinga binafsi siwezi
Shemeji tafuta mali zako,et mali zisipotee ungekuwa na mali zako usingeleta upuuzi huo hapa
 
Mjane mmoja huku kitaa aliyefiwa na mumuwe na kuachiwa mi mali yakushiba ikiwemo mi jumba ya kifayari, mindinga ya maana na ma maduka ya ujazo yote amegoma kurithiwa na shemeji yake.

Shemeji mtu ni kaka wa marehemu hivo alitaka amrithi huyo mjane ili mali zisiende mbali na nyumbani.

Sasa huyo mjane amegoma na anataka alete boya wake ndio waishi naye.

Je, ni haki kweli?

Kwanini agome kurithiwa?
Aende kwa huyo mwanaume na sio kumpeleka kwenye nyumba ya marehemu
 
Shemj kafeli Sana idara ya ushawishi,
Mambo ya kurithi wajane yanahitaji akili ya ushawishi na sio nguvu
Pia sehemu nyingi anayerithi mke ni mdogo na si mkubwa, wengi wanaamini mkubwa aking'ang'ania kurithi mke wa mdogo wake basi yeye ndiye aliyechangia kifo cha.mdogo wale ili arithi Mali kupitia mke. Hongera mke kukatisha ndoto za mkosa haya mmoja

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom