Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,039
- 7,465
Natafuta mtu wa kumtakasa house maid wangu
Hii ni pumba za mchele.........zinafaa kuwasha yale majiko ya kutengenezea kitimoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta mtu wa kumtakasa house maid wangu
Natafuta mtu wa kumtakasa house maid wangu
Kama watakaswaji wanaamini hivyo basi watakasaji lazima waendelee kuwepo na mila itasimama.hichi kitendo ni common sana Ukerewe.........na kuna professional watakasaji.
Tumeipigia kelele kidogo lakini ningumu sana kutoka kwa urahisi katika jamii hiyo ya wakerewe.
Ehh.Husninyo, wajane wa maeneo hayo anaamini hivyo , na kwa maana hiyo hutafuta utakaso ili awe safiiiiii.Jamani mjane aliachwa na uchafu au?
Ehh.Husninyo, wajane wa maeneo hayo anaamini hivyo , na kwa maana hiyo hutafuta utakaso ili awe safiiiiii.
Mhh!!! No commentsasa akifanyiwa matusi si ndio anaachwa na uchafu mwingine?
Hamkupaswa kupigia kelele kidogo, mlitakia kuipigia kelele kwa nguvu zote, tena hata kuihusisha serikali.hichi kitendo ni common sana Ukerewe.........na kuna professional watakasaji.
Tumeipigia kelele kidogo lakini ningumu sana kutoka kwa urahisi katika jamii hiyo ya wakerewe.
Ukistaajabu ya mussa.................:A S thumbs_down:
Natafuta mtu wa kumtakasa house maid wangu
Nakunywa maji kwanza ili ni kam dauni kwa mshtuko.
Ama kweli duniani kuna mambo!Hamkupaswa kupigia kelele kidogo, mlitakia kuipigia kelele kwa nguvu zote, tena hata kuihusisha serikali.
Niliwahi kuona documentary moja, inahusu kabila moja kule Marekani ya kusini, wao wanacho fanya, kama mjane ni mwanamke, na aliyefariki kama anao ndugu zake wa kiume, basi hao ndugu wa kiume watamuingilia kwa zamu huyo mjane, Kisha mjane atachagua yule aliye mrizisha li aolewe naye, na hivi vitendo vinafanyika uku wazee wa kikabila wakibariki zoezi zima... yaani inakuwa si siri, ili kuweka usawa.
Fananisha na hii: Anapofiwa mwanamke na mumewe basi na akae "idda" au "eda".
Muda wa eda: Eda ni kipindi cha miezi minne na siku 10.
Maana ya eda: Yaani akae ndani bila ya kutoka nje pasipo lazima wakati shughuli zake nyengine zote ambazo zinamfanya akutane na watu wasio maharimu zinasimama, ikiwemo kwenda kazini. Ndani maana yake ni nyumbani hususan upande wa marehemu mumewe (yaani nyumbani kwake, wakwe zake au shemeji zake, chumbani kwake, ukumbini, uwani) Mwanamke huweza kukaa eda hata nyumbani kwao. Wakati wa eda, mfiwa hupatiwa huduma za kujikimu (nguo, chakula, sabuni na kuishi nae kwa vizuri) kama anavyostahili kutoka kwa ndugu wa marehemu katika kipindi hicho cha miezi 4 na siku kumi. Zinaa ni uchafu katika hali yeyote ile na mtu yeyote yule.
Lengo la eda: Ni kipindi cha subira kuona kwamba kama kulikuwa na uwezekano ya kuwa mwanamke yule alishashika ujauzito wakati mumewe anafariki. Yaani ndani ya kipindi hiki (miezi minne+10 days) hata kama uja uzito ule uliingia siku au masaa ya mwisho kabla mume kufariki, basi mimba itadhihirika na mtoto atakuwa wa marehemu, si vinginevyo. Ni hivi usafi wa mwanamke umehifadhiwa hata kutotoa nafasi ya mwanamke kusingiziwa kwa uchafu wa zinaa. Na kama kipindi kimekwisha na hakuna ujauzito, basi ndio hakuna ujauzito. Basi hapo tena mwanamke anatoka eda na kurudi kwao akiwa huru. Akitokea mume na akitaka kuolewa taolewa "brand new" ndoa au "chuo cha pili" au kama hataki kuolewa basi.
Hizi ndivyo uislamu unavyomuhifadhi mwanamke anapofiwa, japokuwa kwa kina Abdulhalim, October na Buchanan, walionifanya ni-resign kutoka katika jamiiforums kutokana na upuuzi wao wakupenda kutukana usilamu na wanapojibiwa basi kutumia "ignore list" wataiiona hii ni udhalilishaji wa mwanamke.
Ametakasika Mwenyezi Mungu na awaongoze ndugu zetu wenye kuyafanya hayo wayaache na jamii zao zisafike, inshaAllah.
Maelezo yako si mabaya, ila hapo mahala uliposema kwenda kazini inategemea kama mwajili wake amekubali kumpa rikizo, kama hakuna uwezekano wa yeye mfiwa kutopewa rikizo basi anaweza kwenda kazini kama kawaida na uku hakitimiza masharti mengine ya eda.Fananisha na hii: Anapofiwa mwanamke na mumewe basi na akae "idda" au "eda".