Mjane wa Elvis Presley, Pricilla Peesley mwenye miaka 77

Mjane wa Elvis Presley, Pricilla Peesley mwenye miaka 77

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1653710912356.png

1653710750407.png

Picha hii imepigwa katika uzinduzi wa filamu mpya wa Elvis Presley huko Cannes 25/05/2022.

1653711058096.png

Elvis na Pricilla walifunga ndoa mwaka 1967
 
Mambo ya pesa, kama anao uwezo wa kununua vyakula vyote vya kujenga na kulinda mwili, nyumbani kuna chumba chenye vifaa vya gym na anae daktari wake akiugua tu ameshafika.

Kule kwetu Nangurukulu angeitwa kikongwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila bibi jaman, khaaah
 
Wakati niko Century Cinemax natazama Top Gun: Maverick iliyotoka jana nikaona trailer muigizaji anafanana na Elvis Presley, nikaona ana mdada anafanana na Marylin Monroe nikajua hii ni movie ya Elvis na wameiita hivyo. Yupo Tom Hanks pia.

Elvis Presley lifestyle yake mbaya ilichangiwa na corporate greedy. Alikuwa anapewa ratiba ngumu na tours ambazo bila drugs hutoboi. The same na hawa kina Michael Jackson, pressure ya matokeo iliwatuma kufanya mengi. Wasanii wanapewa objectives ambazo ni ngumu kuzitimiza haziko realistic kivile
 
Huyo mrembo aliyecheza sehemu ya Marylin Monroe ni Kelly Minogue.
 
Mambo ya pesa, kama anao uwezo wa kununua vyakula vyote vya kujenga na kulinda mwili, nyumbani kuna chumba chenye vifaa vya gym na anae daktari wake akiugua tu ameshafika.

Kule kwetu Nangurukulu angeitwa kikongwe.

[emoji23]
Kweli kabisa ila kuna wengine hela inawapa kiburi na kujibadili kila wakati kama Madonna
Ila huyu yuko vizuri kama mimi vile
 
Fahari yake ni kuoendelea kuitwa Pricilla Presley hakutaka kuolewa tena. Hili jina analipenda pia linamsaidia katika biashara zake. Kama ni mpunga aliachiwa wa kutosha tu.
Aiseeeeeeh hapo sasa azeeke vizuri tyuuh, awe na mwisho mwema.
 
Wow,,,Wanangu Public enemy(CHUCK D & FLAVOR FLAV)::

SONG:FIGHT THE POWER -

Chuck d "Elvis was a hero to most/
But he never meant s-to me/
Straight up racist that sucker was,simpe and plain/

flavor flav"(Motherf-him & John wayne)
 
Back
Top Bottom