Mjane wa Elvis Presley, Pricilla Peesley mwenye miaka 77

Mjane wa Elvis Presley, Pricilla Peesley mwenye miaka 77

Rest in Peace Elvis Presley.

Kibao cha "It's Now or Never" na "Can't Help Falling in Love" vinanikosha nafsi yangu sana.
 
Ingawa makamera yanadanganya sana,
Ila kajitahid sn kujilinda,
 
Hana haja ya kuolewa njemba zina Chakata tu ndio maana bado ana mvuto!! Bila hivyo angekwisha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] khaaaah
 
Bibi bado anafaa kwa matumizi ya kibinadamu....gari bovu husukumwa na gari zima
 
Mkuu nikuulize kitu hivi hiyo movie ya Top gun inahusu nini niliona trela lake naona movie mbaya kwani tom cruise kafanya maajabu gani humo
Top gun inataka uwe unajua silaha ndio utaipenda, mimi nimekuwa naisubiri iwe released kwa miezi mingi sasa. Kama hauko interested na silaha, vita au masuala ya usalama huwezi penda movie kama hii. Ni fiction ila kila kinachotumika kipo in real life na mission yenyewe ushawahi fanyika twice.

Story ilihusu elite graduates wa Top Gun ambao hutokea vyuo vya mafunzo ya urubani wa jeshi la anga la Marekani. Hao walifundishwa zaidi kufanya mission ngumu ya kuharibu nuclear facility iliyokuwa chini ya ulinzi mkali wa anga. Maverick ambaye ni Tom Cruise ndio kiongozi wao
 

Attachments

  • licensed-image.jpeg
    licensed-image.jpeg
    143.4 KB · Views: 16
Back
Top Bottom