Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
Rest in Peace Elvis Presley.
Kibao cha "It's Now or Never" na "Can't Help Falling in Love" vinanikosha nafsi yangu sana.
Naisubiri kwa hamu maana huyu jamaa alikuwa moja ya ya rockstar wakubwa kuwahi kutokea.Movie yake inatoka hivi karibuni
Wee?Plastic surgery,botox and all kinds of body fillers (Dr Frankenstein Monster)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kabisaa, bibi bado mcharooooMimi kanipitia miaka 40+ ila nimemtamani pisi kali sana
Lots of plastic surgeryView attachment 2241751
View attachment 2241744
Picha hii imepigwa katika uzinduzi wa filamu mpya wa Elvis Presley huko Cannes 25/05/2022.
View attachment 2241755
Elvis na Pricilla walifunga ndoa mwaka 1967
It's obvious angalia JLO amefanya surgery ngapi? Anaonekana mrembo Ila amepiga nose job na kujaza maziwa na makalio Mara kibaoWee?
Hana haja ya kuolewa njemba zina Chakata tu ndio maana bado ana mvuto!! Bila hivyo angekwisha!Bado ana mvuto na yuko vizuri, mbna anaweza olewa tena huyu.
JLO nae haishiwi drama khaaaah, lizee ila bado liko mcharoooo.It's obvious angalia JLO amefanya surgery ngapi? Anaonekana mrembo Ila amepiga nose job na kujaza maziwa na makalio Mara kibao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] khaaaahHana haja ya kuolewa njemba zina Chakata tu ndio maana bado ana mvuto!! Bila hivyo angekwisha!
Yani yule akinipa nitapiga Kama ndio nakula bikra wallah sitajali wamepiga wangapiJLO nae haishiwi drama khaaaah, lizee ila bado liko mcharoooo.
Top gun inataka uwe unajua silaha ndio utaipenda, mimi nimekuwa naisubiri iwe released kwa miezi mingi sasa. Kama hauko interested na silaha, vita au masuala ya usalama huwezi penda movie kama hii. Ni fiction ila kila kinachotumika kipo in real life na mission yenyewe ushawahi fanyika twice.Mkuu nikuulize kitu hivi hiyo movie ya Top gun inahusu nini niliona trela lake naona movie mbaya kwani tom cruise kafanya maajabu gani humo
elvis alikuwa handsome sana, hivi nini kilimuua?View attachment 2241751
View attachment 2241744
Picha hii imepigwa katika uzinduzi wa filamu mpya wa Elvis Presley huko Cannes 25/05/2022.
View attachment 2241755
Elvis na Pricilla walifunga ndoa mwaka 1967
Then we have Nancy Pelosi; stunning beauty at 82✌😘View attachment 2241751
View attachment 2241744
Picha hii imepigwa katika uzinduzi wa filamu mpya wa Elvis Presley huko Cannes 25/05/2022.
View attachment 2241755
Elvis na Pricilla walifunga ndoa mwaka 1967