Kuliko usubiri kupata mtaji ndio uanze kwanini usianze kidogo kidogo huku unapata experience zaidi na kukuza mtaji?
Pili kama issue ni mashine kuna watu humu nilishaona wanakopesha incubatorsincub labda watafute kama kweli una uhakika na hilo soko ingawa sidhani kama soko ni rahisi hivyo bila kutengeneza reputation