Mjasiriamali ana stress kwenye hatua hizi 3, uko hatua ipi?

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,814
Reaction score
2,738
Biashara ikiwa inaanza kuna stress ya kupata wateja

Biashara ikipata wateja wengi na mauzo mazuri kuna stress ya usimamizi(wasaidizi waaminifu, kuweka rekodi n.k)

Biashara ikikuwa, au umepata pesa imezidi mahitaji ya biashara ya sasa ,Kuna stress ya kuanzisha biashara mpya

Upo hatua ipi?
 
Yangu ipo kwenye makaratasi😀
 
Am in growth stage, inanihitaji nitumie nguvu nyingi Sana kuliko stage hizo ulizozitaja hapo
 
Stress au challenges?
 
Uliwezaje kukuza mtaji hadi kuwa na hela ndefu bila kukopa?

Hiyo y bench la ufundi, I'm eager to know.
Grants

Bench la ufundi in business ni strategic team au mentors wale wakukwambia Jane do and don't,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…