Mjasiriamali Chato: Alipoingia Magufuli hata afya zetu zilibadilika, sasa pesa imekuwa ngumu. Viwanja vyaporomoka bei

Alinyonya sehemu nyingine za nchi, mbona wa Butiama kwa Nyerere, kule kwa Mkapa au kwa mwinyi hawalii? Mliishi kwa kutegemea serikali iwainue kiuchumi, sio kwamba nyie mlikuwa na mipango ya kiuchumi, huo ujinga mnaolia huwezi kuusikia Katoro/Buselesele au Mnganza, hao ni watafutaji, Chato mlizoea vya kunyonga, hospitali mlinyonga Geita, uwanja wa ndege mlinyonga Bukoba na Geita, Burigi mlinyonga Biharamulo pamoja na lami, Kila kitu mmenyonga, hamjui kuchinja
 
Aliyesema leo kwangu leo kwako hakukosea, wakati wa mwendazake Chato walikuwa wanakula asali na kuogea maziwa wakati wengine tunachapwa viboko na risasi na mwendazake, Chato hawakujua kama kuna siku kibao kitageuka wakadriki hata kumfanyia vurugu Tundulisu ambaye alikuwa mgombea urais, kana kwamba Chato ni tofauti na Tanzania ambako mgombea wa upinzani hatakiwi kwenda kuomba kura.

Kufa kwa Magufuli kumetufanya tuonekane kuwa wote ni watanzania tunaositahili kupata haki sawa pasipo kubaguliwa.
 
pole zenu mliokuwa mnakimbilia kununua viwanja chato
 
Ndo changamoto ya kulazimisha vitu. Dodoma tu ndo imeweza kupata hela ya serikali tu. Wengine jiendelezeni wenyewe!
 
Soon baada ya hii sherehe ya kifo Cha huyu nduli nitaenda chato kufanya documentary ili baadae tuje tulinganishe.

Yaani huyu mpumbafu alikuwa anachota mapato ya Mbeya anayapeleka kwao
 
Soon baada ya hii sherehe ya kifo Cha huyu nduli nitaenda chato kufanya documentary ili baadae tuje tulinganishe.

Yaani huyu mpumbafu alikuwa anachota mapato ya Mbeya anayapeleka kwao
Sio vizuri hata kama unachuki nae! Kumbuka hata wewe sio mwema! Mwogope Mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…