Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,374
- 1,201
Kwanza ukikutana nae hivyo anavyojua kuilaumu serikali ya awamu ya tano, we acha tu!
Atalalamikia mauzo hakuna, atalakamika wateja wamepungua, atalalamikia kodi, atalalamika miundombinu yaani hapo nime summarise tu kwa uchache sana to make the long list short.
Mjasiriamali wa kitanzania sifa yake kuu kudaiwa madeni, yani vicoba sijui saccos hadi benki yeye anadaiwa yaani kutwa ni presha tu na karibu mali zake zitapigwa bei.
Mjasiriamali wa kitanzania bidhaa zake sokoni utazijua tu, kwanza hiyo package yenyewe ilivyo utajua tu this product is from Tz. Na vile vifungashio vinafanana kila mmoja anatumia hivyo hivyo we acha tu!
Mjasiriamali wa kitanzania utamjua tu kwa kuigana si ndio sisi, yaani tukiona mwenzetu kaanzisha biashara na ina mlipa basi na sisi kichwa kichwa pasi na kuongeza ubunifu tunaingia matokeo yake nadhani tunafaham wenyewe jinsi inavyokua...
Ongezea na nyingne hapo ndugu mdau......
NB: sifa hizi zinania njema ya kutufanya wajasiriamali wa kitanzania tubadilike kulingana na vile inavyoonekana tuna sifa negative kibiashara, mjasiriamali makini atayachukua haya na kuyafanyia kazi, let's keep the list on!.