Go and google.
Myths of entrepreneurship.
Hapa wamemaliza kila kitu.
Mjasiriamalia anaweza kuzaliwa, hasa hasa wale wanaokulia kwenye biashara za wazazi wao, ama anaweza kuzalishwa na elimu..
Kumbuka hiyo ya kuzaliwa ni old myth tu, entrepreneurship kwa karne hii tuliyopo imekuwa discipline kama nyingine. lazima uisomee, uibobee na uiheshimu ili biashara yako ikue na kunawiri...
Yangu ni hayo tu...