Mjengo mpya wa Diamond ni shidaaa!

Mjengo mpya wa Diamond ni shidaaa!

Binamu billion mbili mchezo? , kama nyumba ya hamisa tu aliyopanga ghorofa alilipa mil 6 akakimbia sasa apo kuna mtu wa kununua nyumba bilion 2
Binamu kwa uwezo wake anaweza kununua kwa mkopo istoshe hapo hakuna nyumba ya 2bn labda kama zege inatoka usa,istoshe kwa level zake ni sawa iwe kanunua au kupanga,mage anaishi buguruni huko usa
 
Nyumba ya kupanga mara imeshakuwa yake?! Kazi ipo Maisha ya copy n paste buaaana
Kweli, hata Da' Mange kasema kwamba amepanga kwa $1200/m tena kodi analipiwa na Joseph Kusaga. Da' Mange mtu wa info ndie pia alitungua macho kwamba hata ile nyumba ya South jamaa hakununua bali zilikuwa kiki tu!
 
Binamu kwa uwezo wake anaweza kununua kwa mkopo istoshe hapo hakuna nyumba ya 2bn labda kama zege inatoka usa,istoshe kwa level zake ni sawa iwe kanunua au kupanga,mage anaishi buguruni huko usa

Nimepost nyumba ya mange umeiona?
 
Ndiwoo sio yake kapanga. Kawajaza watu tu. Yale Yale ya Wema Sepetu na NYUMBA ya 400M. Diamond kapanga hiyo nyumba na ni mpya bado. Haina hata siku nyingi toka mwenye mjengo wake aizindue
So tumwamini nani diamond au ww?
 
Mnataka uhuru wa kuongea kwenye siasa wakati uhuru wa kutoa umbeya mnaukandamiza... Mange kafanya kutoa taarifa eti roho mbaya, kama kasema uongo we mwenye roho nzuri na mkweli kanusha la sivyo we ndo una wivu na Mange

Diamond apunguze kiki... Siku asije kusema tumchangie manake hawa bongo fleva na bongo movie ni pasua kichwa
 
Binamu kwa uwezo wake anaweza kununua kwa mkopo istoshe hapo hakuna nyumba ya 2bn labda kama zege inatoka usa,istoshe kwa level zake ni sawa iwe kanunua au kupanga,mage anaishi buguruni huko usa
Nyumba kama nyumba ya 2 Billion hata mimi siioni hapo. Hata hivyo, tusisahau bei kichaa za nyumba Dar es salaam hususani maeneo tajwa! Kama ni Mbezi Beach upande wa bahari, halafu eneo ni kubwa, basi bei yake haiwezi kuwa ya kitoto!
 
Mnataka uhuru wa kuongea kwenye siasa wakati uhuru wa kutoa umbeya mnaukandamiza... Mange kafanya kutoa taarifa eti roho mbaya, kama kasema uongo we mwenye roho nzuri na mkweli kanusha la sivyo we ndo una wivu na Mange

Diamond apunguze kiki... Siku asije kusema tumchangie manake hawa bongo fleva na bongo movie ni pasua kichwa
Mange alishatuambia nyumba ya SA pia ni ya Kinje sio Diamond;Yule dada ni secret admirer wa Domo,There is a thin line between love and hate!!!Watu wa design ya Mange kufanikiwa ni ngumu sana!!!
 
Binamu billion mbili mchezo? , kama nyumba ya hamisa tu aliyopanga ghorofa alilipa mil 6 akakimbia sasa apo kuna mtu wa kununua nyumba bilion 2
Alikimbia,je misa,now ametoka kwa,ile ghorofa?
 
Mmiliki halali wa hiyo nyumba amekuwa danga jipya mjini baada ya nyie kumsingizia diamond kuwa anamiliki hiyo nyumba yake.
 
Back
Top Bottom