tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Binamu kwa uwezo wake anaweza kununua kwa mkopo istoshe hapo hakuna nyumba ya 2bn labda kama zege inatoka usa,istoshe kwa level zake ni sawa iwe kanunua au kupanga,mage anaishi buguruni huko usaBinamu billion mbili mchezo? , kama nyumba ya hamisa tu aliyopanga ghorofa alilipa mil 6 akakimbia sasa apo kuna mtu wa kununua nyumba bilion 2
Kweli, hata Da' Mange kasema kwamba amepanga kwa $1200/m tena kodi analipiwa na Joseph Kusaga. Da' Mange mtu wa info ndie pia alitungua macho kwamba hata ile nyumba ya South jamaa hakununua bali zilikuwa kiki tu!Nyumba ya kupanga mara imeshakuwa yake?! Kazi ipo Maisha ya copy n paste buaaana
HakikaWomen are the hardest creatures to understand.
Kwani yule ananyumba huko usaNimepost nyumba ya mange umeiona?
ShangaaaKwani yule ananyumba huko usa
So tumwamini nani diamond au ww?Ndiwoo sio yake kapanga. Kawajaza watu tu. Yale Yale ya Wema Sepetu na NYUMBA ya 400M. Diamond kapanga hiyo nyumba na ni mpya bado. Haina hata siku nyingi toka mwenye mjengo wake aizindue
Furniture kwa us kitu cha kawaida tuYule hana hata stuli huko alipo anatagemea watoto ndio aishi
Nyumba ya nani? Acha utani wewe! Au nyumba ya urithi hapa Tz?Nimepost nyumba ya mange umeiona?
Nyumba kama nyumba ya 2 Billion hata mimi siioni hapo. Hata hivyo, tusisahau bei kichaa za nyumba Dar es salaam hususani maeneo tajwa! Kama ni Mbezi Beach upande wa bahari, halafu eneo ni kubwa, basi bei yake haiwezi kuwa ya kitoto!Binamu kwa uwezo wake anaweza kununua kwa mkopo istoshe hapo hakuna nyumba ya 2bn labda kama zege inatoka usa,istoshe kwa level zake ni sawa iwe kanunua au kupanga,mage anaishi buguruni huko usa
Mange alishatuambia nyumba ya SA pia ni ya Kinje sio Diamond;Yule dada ni secret admirer wa Domo,There is a thin line between love and hate!!!Watu wa design ya Mange kufanikiwa ni ngumu sana!!!Mnataka uhuru wa kuongea kwenye siasa wakati uhuru wa kutoa umbeya mnaukandamiza... Mange kafanya kutoa taarifa eti roho mbaya, kama kasema uongo we mwenye roho nzuri na mkweli kanusha la sivyo we ndo una wivu na Mange
Diamond apunguze kiki... Siku asije kusema tumchangie manake hawa bongo fleva na bongo movie ni pasua kichwa
Ajisifie si Angekuwa anatupostia Sisi wanaume wa dar tu hatuna nyumba sembuse Huyo wa USAShangaaa
Nini kinakufanya umuamini Mange?ameshatulisha matango pori mengi tu beforeHivi kwanini diamond muongo sana jamani?
Kajibuje?Mange kashajibu.
Alikimbia,je misa,now ametoka kwa,ile ghorofa?Binamu billion mbili mchezo? , kama nyumba ya hamisa tu aliyopanga ghorofa alilipa mil 6 akakimbia sasa apo kuna mtu wa kununua nyumba bilion 2
Na tanzania je?Yule hana hata stuli huko alipo anatagemea watoto ndio aishi
Huku anamiliki machimbo ya kokoto kunduchiNa tanzania je?