Mjengo mpya wa Diamond ni shidaaa!

Halafu Mange ni mtoto wa Ushuani huyu. Hizo nyumba Baba yake kaacha kama zote. Na baadhi wamerithishwa. Huo wivu kwake wa nini???
 
Shangaa
 
Mange alishatuambia nyumba ya SA pia ni ya Kinje sio Diamond;Yule dada ni secret admirer wa Domo,There is a thin line between love and hate!!!Watu wa design ya Mange kufanikiwa ni ngumu sana!!!
Mange yeye anapewa taarifa. Na pengine na watu wa karibu kabisa na wahusiki. Mange ni mwandishi kama walivyo wengine. Suala la nyumba ya South hakuna mwenye uhakika ni ya nani. Nadhani mda ukifika itajulikana.
 
Mimi nikikuambia nina nyumba 2 na Mange akabisha na wote hatujatoa proof!nani utamwamini na kwa nini?
 
Na ana uwezo mkubwa wa kukutungia kashfa na watu wakaamini toka enzi hizo za U-turn
 
Mimi nikikuambia nina nyumba 2 na Mange akabisha na wote hatujatoa proof!nani utamwamini na kwa nini?
Wewe na huyo anayedaiwa kupanga nyumba ni watu wawili tofauti. Dai ni Celebrity wewe je???
 
Wewe na huyo anayedaiwa kupanga nyumba ni watu wawili tofauti. Dai ni Celebrity wewe je???
Point ni unachaguaje side ya ukweli wakati hakuna aliyeonyesha vielelezo?unatumia criteria gani kumuamini Mange kuliko Domo?kama kudanganya kabla wote walishawahi kufanya hivyo
 
Elimu pia inamsaidia, uandishi wake ni wa kipekee, Tatizo tu alivyojiingiza kwenye siasa, angekua bongo angekua Ana pesa sana , maana bongo bloggers na waandishi wengi hawajasoma na hawana upeo mkubwa kifikra, mange she is a global awareness competent , yani angekua mbali sana , maana angekua anahoji wasanii wakubwa sana ndani na nje ya nchi , ingawa tu Tatizo Hana confidence infront of camera , Ila nyuma ya keyboard ni mwandish mzuri tu

Aombe msamaha tu arudi bongo atengeze maisha , huko US anapoteza muda tu
 
Halafu Mange ni mtoto wa Ushuani huyu. Hizo nyumba Baba yake kaacha kama zote. Na baadhi wamerithishwa. Huo wivu kwake wa nini???

Ndio kazaliwa ushuani Ila maisha yanabadilika, sasa hvi Hana kitu binamu
 
Ndio kazaliwa ushuani Ila maisha yanabadilika, sasa hvi Hana kitu binamu
Wakuja hao wamekaririshwa na Mange;Ile nyumba pale Africana inakaribia kuwa gofu haina Maintenance
 
Mmh Katoa kafara kiasi gani? Kweli Freemason inalipa
 
Bank tellers...
Housewives...
Walimu...
Nurses...
Joblesses...
Wote hawa kwa pamoja wanajadili uwezo wa Diamond Platnumz kununua jumba la bilioni 2.
Ngoja na mimi Ngumbaru nijiingize kwenye mjadala huu.

"SIDHANI KAMA DOMO ANA UWEZO WA KUNUNUA JUMBA LA BILIONI KADHAA,UNAIJUA BILIONI UNAISIKIA?"
 
nyumba ya south yenyewe wamepanga
Hivi nayo mlikuwa mnaamini ni ya DIOMNDI? Kila siku nasema Msanii mwenye hela hawezi kuishi kwenye nyumba kama ile ya madale yenye kiwanja cha 25 kwa 25....DIMONDI ana UTAJIRI wa KIBONGO tu kuwa na Njumba Ndogo na Mabati mawili matatu ya mjapani tu baasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…