EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Tuliza ball mkuu, utajionea mambo tu, yaani hapo ndio nimeanza. Kuna vitu za moto zinakuja sio muda, kitu zilizonyooka. Wakati unatafakari endelea kupata na song la diamond (NENDA KAMWAMBIE) Alafu agiza na Kamirinda kamoja hapo.sikuvunji moyo, ila tafuta fani nyingine broh
yes paa linatakiwa linaendane na idadi ya vyumba vilivyomo ndani otherwise ni misuse of resourcesKazi zako nzuri ila paa zako haziendani na uchumi wa bongo, ramani kama hizo two rooms na paa la Bangalore.
jiko la nn m msela, kula kwa nn nipike?Hiyo nyumba Haina jiko?
mi nashangaaa sana unajenga nyumba kubwa halafu hadi unapotea chumba cha kulaalaa jenga vyumba viwili piga ac, nje ist mpya maisha yaendeHiyo nyumba Haina jiko?
Unatujazia nzi Tu weweHabari za leo wakuu,
Kaka mijengo bado naendelea na hobby yangu ya kubuni mijengo mbalimbali kadri akili inavyo nituma.
Haka kamjengo kana vyumba viwili tu, na choo ndani kwa ndani.
Bado hakajamalizika jamani, bado naendelea kukatengeneza zaidi.
View attachment 1689495
View attachment 1689496
View attachment 1689497
View attachment 1689498
View attachment 1689499
View attachment 1689500
View attachment 1689501
thanks for your commentUnatujazia nzi Tu wewe
thanks for your commentmi nashangaaa sana unajenga nyumba kubwa halafu hadi unapotea chumba cha kulaalaa jenga vyumba viwili piga ac, nje ist mpya maisha yaende
Thanks for your comment
thanks for your comment
thanks for your commentyes paa linatakiwa linaendane na idadi ya vyumba vilivyomo ndani otherwise ni misuse of resources
Kazuri ka kuanzia maisha ila kamekosa jiko tu.
Na siku hizi nyumba bila jiko, dinning na sebule inakua bado niya kimaskini. Na ndio sababu ukiweka hivyo vitu lazima ukubwa uongezeke hapo. Na jiko lazima liwe na varanda tena na sebure nayo lazima iwe na varanda kwa hiyo automatically ukubwa utaongezeka tu. Bila kusahau nyumba za siku hizi kachoo ndani kwa ndaniKazuri ka kuanzia maisha ila kamekosa jiko tu.
Na siku hizi nyumba bila jiko, dinning na sebule inakua bado niya kimaskini. Na ndio sababu ukiweka hivyo vitu lazima ukubwa uongezeke hapo. Na jiko lazima liwe na varanda tena na sebure nayo lazima iwe na varanda kwa hiyo automatically ukubwa utaongezeka tu. Bila kusahau nyumba za siku hizi kachoo ndani kwa ndani