EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
- Thread starter
- #21
Ndio hivyoo mkuuKwa maisha ya sasa ya kuwindana ,chumba lazima kiwe na choo na jiko ,mambo ya kukojoa kwenye makopo ni UCHAFU au kuamka usiku kwenda choo cha nje wazee wa kazi wakakutime.