Mjengwa ang'atuka KWANZA JAMII

Mjengwa ang'atuka KWANZA JAMII

[/FONT] Ajabu nilipoanzisha gazeti hili la KWANZA JAMII , haraka nikasoma mitandaoni watu wakinijadili. Ikasemwa kuwa KWANZA JAMII linamilikiwa na mafisadi, hivyo basi hata mimi nimenunuliwa na hata kuitwa fisadi.
mh! Wabongo wamebarikiwa kwa kuzusha habari za kizushi

Kila mtu ana uhuru wa kikatiba wa kutoa maoni yake. Naheshimu uhuru huo na nitaendelea kuupigania. Hata hivyo, waliozungumza hayo juu yangu ni watu wasionifahamu. Nami sikupoteza hata dakika moja kulumbana na watu wasionifahamu na wala wasiojitambulisha kwa majina yao halisi.
[4]

Jiwe limerushwa JF sijui limempata nani!
 
nini sababu ya huyu mwandishishi kutoka kwanza jamiii? aidha maslahi yake haya kuwa chaguo la kwanzaa jamii au udini wake hakutilimawa maanani? katika kutekeleza maslahi yake?
 
Huyu ni mmoja wa waandishi wachochezi kabisa na anayeweza kutumia taaluma yake kuleta matabaka nchini yasiyokuwa na umuhimu wowote zaidi ya kueneza chuki. Nimekuwa napitia blog yake mara kwa mara na mara nyingi huwa ni mtu wa kuanzisha au kuweka mada za dini zenye lengo la kuanzisha uchochezi kwa jamii. Na mnaweza mkapita blog yake na mkaona ni nini alibandika juzi kwenye blog yake. Hii ni hatari kama mwandishi mahiri kama yeye anaweza kuwa na fikra kama hizo!
 
na mimi nimeliona hilo, sema nilishindwa ku-copy hiyo linki na hiyo habaeri yake, ndio maana nikakumbushia na kutoka kwake kwanza jamii, na kuhusu maslashi yake, ambayo yanaonekana ni kujipendekeza kwa watu fulkani na udini.
 
Huyu ni mmoja wa waandishi wachochezi kabisa na anayeweza kutumia taaluma yake kuleta matabaka nchini yasiyokuwa na umuhimu wowote zaidi ya kueneza chuki. Nimekuwa napitia blog yake mara kwa mara na mara nyingi huwa ni mtu wa kuanzisha au kuweka mada za dini zenye lengo la kuanzisha uchochezi kwa jamii. Na mnaweza mkapita blog yake na mkaona ni nini alibandika juzi kwenye blog yake. Hii ni hatari kama mwandishi mahiri kama yeye anaweza kuwa na fikra kama hizo!

Wewe na mwenzako mna ushahidi ganu kuwa Mjengwa ni Muislamu?
 
Back
Top Bottom