Mjengwa ang'atuka KWANZA JAMII

 
nini sababu ya huyu mwandishishi kutoka kwanza jamiii? aidha maslahi yake haya kuwa chaguo la kwanzaa jamii au udini wake hakutilimawa maanani? katika kutekeleza maslahi yake?
 
Huyu ni mmoja wa waandishi wachochezi kabisa na anayeweza kutumia taaluma yake kuleta matabaka nchini yasiyokuwa na umuhimu wowote zaidi ya kueneza chuki. Nimekuwa napitia blog yake mara kwa mara na mara nyingi huwa ni mtu wa kuanzisha au kuweka mada za dini zenye lengo la kuanzisha uchochezi kwa jamii. Na mnaweza mkapita blog yake na mkaona ni nini alibandika juzi kwenye blog yake. Hii ni hatari kama mwandishi mahiri kama yeye anaweza kuwa na fikra kama hizo!
 
na mimi nimeliona hilo, sema nilishindwa ku-copy hiyo linki na hiyo habaeri yake, ndio maana nikakumbushia na kutoka kwake kwanza jamii, na kuhusu maslashi yake, ambayo yanaonekana ni kujipendekeza kwa watu fulkani na udini.
 

Wewe na mwenzako mna ushahidi ganu kuwa Mjengwa ni Muislamu?
 
Wewe na mwenzako mna ushahidi ganu kuwa Mjengwa ni Muislamu?

Wewe unajua kusoma kweli? Ukisoma nilichosema hakuna sehemu nimesema Mjengwa ni muislam..na hata August hajasema ni muislam. Uliza swali jingine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…