Elections 2010 Mjengwa Huyu Hapa

Elections 2010 Mjengwa Huyu Hapa

Mtu66

Senior Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
165
Reaction score
3
Comments za Mjengwa hizi hapa

IRINGA MJINI IMEPOROMOKEA CHADEMA!

Taarifa hizi ni za kuthibitisha. Mch. Peter Msigwa ( CHADEMA) ameibuka mshindi akimwacha nyuma Mama Monica Mbega (CCM). CHADEMA pia imepata kiti komoja cha udiwani, hivyo basi itakuwa na madiwani wawili, maana, mbunge, kwa nafasi yake, naye ni diwani

Huyu Jamaa anaumwa CCM nini?
 
huyu ccm damu hata kutoa habari hii ujue kajilazimisha sana. Sawa na Mtuhumiwa wa Mauaji kujipeleka polisi
 
Achana neye huyo mtoto wa mafisadi wala asikuumize kichwa!
 
Mwanaharakati mmoja anapobadili msimamo kurudia asichokiamini ni dhambi kuu isiyosameheka..Peponi utakosa nafasi na Ahera..Mjengwa ni Msaliti
 
Back
Top Bottom