Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Snura ameanza kudhihirisha kuwa anaweza kuvuka border. Hii ni baada ya mzungu mmoja anayejulikana kwa jina la Joan kutamani kufundishwa kudengua mauno kama vile Snura anavyofanya.
Mzungu huyo mjerumani amependezwa na vile Snura ana kipawa cha kupagawisha watu kwa kiuno chake na sasa anatamani aende naye kwao ili aweze kumfundisha kupiga mauno
Mzungu huyo mjerumani amependezwa na vile Snura ana kipawa cha kupagawisha watu kwa kiuno chake na sasa anatamani aende naye kwao ili aweze kumfundisha kupiga mauno