Mjerumani Azuzuliwa Na Mauno Ya Snura, Atamani Kudengua Kiuno Kama Yeye

Mjerumani Azuzuliwa Na Mauno Ya Snura, Atamani Kudengua Kiuno Kama Yeye

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Snura ameanza kudhihirisha kuwa anaweza kuvuka border. Hii ni baada ya mzungu mmoja anayejulikana kwa jina la Joan kutamani kufundishwa kudengua mauno kama vile Snura anavyofanya.

Mzungu huyo mjerumani amependezwa na vile Snura ana kipawa cha kupagawisha watu kwa kiuno chake na sasa anatamani aende naye kwao ili aweze kumfundisha kupiga mauno
 

Attachments

  • C360_2014-01-07-15-24-57-157.jpg
    C360_2014-01-07-15-24-57-157.jpg
    9 KB · Views: 813
Back
Top Bottom