Mjeshi ammiminia mkewe risasi

Mjeshi ammiminia mkewe risasi

Angalia wa lawyer wa JF mnavyo ji contradict. Halafu unasema mjeshi akupelekee kesi yake.

Give me a break.

Jamaa tapeli tu si mwanasheria wala nini, hata paralegal au secretary wa mwanasheria aliye bright anaelewa connection ya rule of law na fair trial, na kwamba kamanda wa polisi akishaanza kuleta speculations za "inasemekana" kwenye vyombo vya habari fair trial inakuwa compromised na hivyo rule of law pia inakuwa compromised.

Sasa huyu bwana anataka tuamini yeye mwanasheria wakati haelewi vitu hivyo?

Hamna mwanasheria hapa, naona kuna tapeli mmoja anataka kuwashikia watu akili, na mimi sikubali kushikiwa akili .Mimi siyo mwanasheria lakini huwezi kunidanganya kwamba wewe ni mwanasheria.

Halafu unaongea kesi za kina ditto, wanasheria unawajua wewe? Ukitupwa Pfeizer hapo uangalie litigation ya billions of dollars utasema nini?
 
Acha kukwepa kujibu hoja ya "valid illustration" .........

Wewe umeshindwa kuelewa mtu anaposema mwandishi yule ni "one of the best." Utaelewa mengine kweli?

Nilisema Mwanakijiji ni mmoja wa waandishi wakali kuliko wote Tanzania, hukuelewa, ukaona contradiction hapo. Unauliza atakuwaje mmoja wa wakali wakati huo huo ni mkali kuliko wote. That's too complicated for you to work out? Utaelewa mengine ya "valid illustration" kweli wewe?

Huelewe sentensi "one of the best" utaelewa mengine?
 
pundit huna point, na hautakuja uwe na point maishani mwako.

Not only is he a lawyer, apparently he is an omnipotent, omniscient and omnipresent one.

I am beginning to think perhaps god almighty himself logged in as "Mbeba Maono"
 
Siyo kila mtu anastahili kupewa silaha hata kama ni mwanajeshi pia, maana wengine wana akili fyatu. Ndiyo maana hata wale ambao wanaweka bunduki au bastola majumbani kwao kwa kujilinda inabidi wajihadhari sana maana mara nyingi hutumika kujimaliza wenyewe au mmoja wa wapendao. Umegundua jumbe za kimapenzi kwenye simu ya mke wako si mnaachana tu yanakwisha!? Kwa nini umuue!!!? Si ajabu wana watoto ambao sasa hawana mama na baba naye ndiye huyo anaishia jela maisha au kunyongwa.
 
...maskini huyo askari, ameua bila kukusudia!

...huyo mke alikwenda eneo la kazi ya mumewe, na kum provoke! ...kosa la huyo mama ni kwenda kwa mumewe huko lindoni ilhali anajua yeye ni mkosa, tena anakwenda kukabiliana na mumewe askari (aliyefundishwa kuua) kwa silaha ya maangamizi.

Inasikitisha sana.
 
...Umegundua jumbe za kimapenzi kwenye simu ya mke wako si mnaachana tu yanakwisha!? Kwa nini umuue!!!?

...eewe ndugu yangu ee... yataka moyo, temea mate chini yasijekukuta, Animal instincts talkes over hasira inapokupanda, mambo ya mapenzi mpaka mtu akaja kuoa/kuolewa ni sawa na life investment. Ni wachache sana wanaokubali kuachana tu hivi hivi baada ya ndoa yake kuingiliwa... wengine wenye roho ndogo hujiua wao!

anyway, ni majuzi tu hapa Uingereza naona nao wanaukataa utetezi huo wa pasiion killing;

Husbands who kill wives can no longer claim they were provoked

Husbands who kill nagging wives will no longer be able to claim they were provoked, under a radical shake-up of the murder laws.

By Rosa Prince, Political Correspondent
Last Updated: 1:31AM BST 22 Jul 2008

Suspects will also be prevented from pleading not guilty to murder by claiming it was a "crime of passion" because their partner was having an affair.

The reforms are designed to ensure domestic violence is treated as other forms of homicide.

As a result of the changes, battered wives who kill their abusers will be able to defend themselves against a murder charge by claiming diminished responsibility.

Following several years of consultation, the Government will next week announce the end of the "crime of passion" defence of provocation used by virtually all male defendants pleading not guilty to murder of a female partner
 
Wewe umeshindwa kuelewa mtu anaposema mwandishi yule ni "one of the best." Utaelewa mengine kweli?

Nilisema Mwanakijiji ni mmoja wa waandishi wakali kuliko wote Tanzania, hukuelewa, ukaona contradiction hapo. Unauliza atakuwaje mmoja wa wakali wakati huo huo ni mkali kuliko wote. That's too complicated for you to work out? Utaelewa mengine ya "valid illustration" kweli wewe?

Huelewe sentensi "one of the best" utaelewa mengine?

Hahahahaha....wewe kweli unachekesha. Hayo ya Mwanakijiji huku yamefikaje tena? Anyway, umeya-refine maelezo ya kile ulichoandika kuhusu Mwanakijiji. Maelezo haya nayakubali na hayajikanganyi kama yale ya mwanzo kuhusu "ukali" wa Mwanakijiji. Sasa una flip the script kwamba mimi mgumu kuelewa ili nionekane mbumbumbu. Unapenda kuzushia watu mambo na kuweka maneno vinywani mwao. That's your style!! Haya bana whatever floats your boat and if putting me down does then so be it.

Let's get back to the argument on hand.....of valid and invalid illustration....
 
...eewe ndugu yangu ee... yataka moyo, temea mate chini yasijekukuta, Animal instincts talkes over hasira inapokupanda, mambo ya mapenzi mpaka mtu akaja kuoa/kuolewa ni sawa na life investment. Ni wachache sana wanaokubali kuachana tu hivi hivi baada ya ndoa yake kuingiliwa... wengine wenye roho ndogo hujiua wao!

anyway, ni majuzi tu hapa Uingereza naona nao wanaukataa utetezi huo wa pasiion killing;

Mchongoma! Kamwe sitafikiria kuua kwa sababu ya penzi!!! Kwa nini nijiharibie maisha yangu bure na labda ya wanangu kwa kumuua mamayao??? Halafu ukisha muua mama wa watoto wako ndiyo utakuwa umesolve kitu gani???? Binadamu tunatofautiana katika kufanya maamuzi yetu, I'D JUST WALK AWAY RATHER THAN DESTROY MY LIFE, LIFE IS SO PRECIOUS MY BROTHER!!!!!
 
Hahahahaha....wewe kweli unachekesha. Maelezo haya nayakubali na hayajikanganyi kama yale ya mwanzo...

Sasa una flip the script kwamba mimi mgumu kuelewa ili nionekane mbumbumbu. Haya bana whatever floats your boat and if putting me down does then so be it.

Let's get back to the argument on hand.....of valid and invalid illustration....

Unacheka! Umeelewa eenh!

Just wanna make sure you're following me, don't wanna skip things, you know.

Alright, having covered that, let's get to Chapter 2.

Valid Illustration.

Nilisema, kutumia mifano ya novel za Kimarekani kum lambast Kamanda wa Polisi wa Bongo inaweza kuwa sio valid illustration kwa sababu tamthilia za kwao huko zinaweza kuwa sio taswira ya jamii yetu.
Kwa hivyo nakataa kulalia huo mfano, nakataa ku rely on that illustration kwa sababu hatujui kama unahusika. Na, kwa vile sio factually safe for me give a blanket statement kwamba haihusiki ninaacha nafasi ndogo ya uwezekano wa kuhusika. Lakini mwisho wa siku hatujui.

Nataka kuhakikisha tuko pamoja Nyani, nitarudia. Ninakataa illustration ya novel za Rage of Angles za Kimarekani kwa sababu inawezekana hazihusiki katika kutoa taswira ya jamii ya Tanzania.

Kama hujanielewa usitie shaka, tunaweza ku review next time around before we move on .

(Nyani leo unalalamika being put down? How does your own medicine test up there? Talk about mkuki kwa nguruwe!)
 
So you admit you were purposely putting me down eeh?

Na ndio, nimeelewa lakini baada ya wewe kubadili maelezo yako......yale ya kwanza siyakubali, got it?

Halafu ni taste of medicine, sio "test".....so much for Mister Know It All...Lol
 
Unacheka! Umeelewa eenh!

Just wanna make sure you're following me, don't wanna skip things, you know.

Alright, having covered that, let's get to Chapter 2.

Valid Illustration.

Nilisema, kutumia mifano ya novel za Kimarekani kum lambast Kamanda wa Polisi wa Bongo inaweza kuwa sio valid illustration kwa sababu tamthilia za kwao huko zinaweza kuwa sio taswira ya jamii yetu.
Kwa hivyo nakataa kulalia huo mfano, nakataa ku rely on that illustration kwa sababu hatujui kama unahusika. Na, kwa vile sio factually safe for me give a blanket statement kwamba haihusiki ninaacha nafasi ndogo ya uwezekano wa kuhusika. Lakini mwisho wa siku hatujui.

Nataka kuhakikisha tuko pamoja Nyani, nitarudia. Ninakataa illustration ya novel za Rage of Angles za Kimarekani kwa sababu inawezekana hazihusiki katika kutoa taswira ya jamii ya Tanzania.

Kama hujanielewa usitie shaka, tunaweza ku review next time around before we move on .

(Nyani leo unalalamika being put down? How does your own medicine test up there? Talk about mkuki kwa nguruwe!)

Jaji Ramadhani alitumia mfano wa Ufaransa kuelezea sovereignty ya Tanzania kwa hiyo kutumia mfano wa nje si dhambi.

Jaji huyu huyu alitumia mashairi kwenye opinions, kwa hiyo kutumia tamthiliya si dhambi.

Kama hujui kama illustration zinahusika au hazihusiki huna haki ya kupinga kutumika kwake, kutokujua kwako haku invalidate validity ya illustration.Hatutaki utuonyeshe kwamba hujui, au hujui kama unajua au hujui, tunataka utuonyeshe unajua kuwa mfano uko invalid.Fact kwamba mfano unatoka nchi nyingine hai-invalidate soundness ya mfano.

Sheria zetu zimejengwa kutoka misingi ya western civilization, ninachoona hapa ni activism ya kuwa anti western kinafiki wakati watu tunakaa, kufanya kazi na kusoma huku west, maandishi hamna tunatumia za watu wengine, namba zetu hatuna tunatumia namba za wengine, katiba zetu wame fotokopi katiba ya marekani na ideas za Renaissance na Bill of Rights na Magna Carta na mambo ya kufuatisha Pax Romana.Rais wetu anatembelea Benz la mjerumani, hatuna Nyumbu yetu, kuanzia shule za Sekondari tulikuwa tunasoma vitabu vya kina Arthur Atkinson na Abbot, vyuo vyetu majority wanasomea vitabu vya waingereza na wamarekaniHuku husemi kwamba tumekopi, mimi tu nikija na "Rage of Angels" ndiyo unakuja na double standards?

In the tunes of Mwinamila

Kuhani kamix mambo

Sawa hiyoooo?

Aaaaaata, hiyo si sawa Kuhani acha vituko,
 
Unacheka! Umeelewa eenh!

Just wanna make sure you're following me, don't wanna skip things, you know.

Alright, having covered that, let's get to Chapter 2.

Valid Illustration.

Nilisema, kutumia mifano ya novel za Kimarekani kum lambast Kamanda wa Polisi wa Bongo inaweza kuwa sio valid illustration kwa sababu tamthilia za kwao huko zinaweza kuwa sio taswira ya jamii yetu.
Kwa hivyo nakataa kulalia huo mfano, nakataa ku rely on that illustration kwa sababu hatujui kama unahusika. Na, kwa vile sio factually safe for me give a blanket statement kwamba haihusiki ninaacha nafasi ndogo ya uwezekano wa kuhusika. Lakini mwisho wa siku hatujui.

Nataka kuhakikisha tuko pamoja Nyani, nitarudia. Ninakataa illustration ya novel za Rage of Angles za Kimarekani kwa sababu inawezekana hazihusiki katika kutoa taswira ya jamii ya Tanzania.
Kama hujanielewa usitie shaka, tunaweza ku review next time around before we move on .

(Nyani leo unalalamika being put down? How does your own medicine test up there? Talk about mkuki kwa nguruwe!)

Thanks, I really appreciate your patronizing attitude there....
 
Nataka kuhakikisha tuko pamoja Nyani, nitarudia. Ninakataa illustration ya novel za Rage of Angles za Kimarekani kwa sababu inawezekana hazihusiki katika kutoa taswira ya jamii ya Tanzania.

Siye wewe Kuhani uliye m-lambast Mwanakijiji kwa sababu ali call resignation ya Professor Mwakyusa, Waziri wa Afya kwa sababu ya speculations za "ikiwa hivi" na "ikiwa vile"?

Sasa hapa wewe, usiyejua kama illustration iko valid lakini unakataa kuikubali kwa speculation kuwa inaweza isiwe valid, una tofauti gani ? unaweza kumtofautisha na Mwanakijiji katika hiyo issue ya Mwakyusa na wewe katika ku repudiate illustrations za Rage of Angels "kwa sababu inawezekana hazihusiki"?

Wewe siye yule yule anayesema kuwa unapenda sana JF kwa sababu inaweka records na watu wakiwa vigeugeu unaweza ku dig maneno yao na kuwaonyesha flip flopping zao?
 
Pundit we acha tu!! This Kuhani dude is a phony. Ana multiple standards ambazo hazi-apply kwake na ukimkamata anajaribu kubadilisha narrative....
 
Tanzania has no "society" to speak of, at least not in literate matters, where am I to draw examples from? Where is our Magna Carta or Bill of Rights?The country is largely illiterate, people do not read, people do not write. Our constitution itself is based on western ideals, so how can you tell me not to borrow and quote from western literature?

The chief justices are prone to gaffes left right and centre, the Police Commissioners talk like sungusungu, the little Shaaban Robert and Agoro Anduru cannot stretch that far, that is why we must look outside.

I am not too proud to admit that.Nationalistic pride will blind austere minds.

Tatizo letu at times ni ku down play hata mazuri tuliyo nayo....we should be proud of what we have ..our laws including Constitution which enshrines our Bill of rights- YES WE HAVE A BILL OF RIGHTS!, our lawyers who are equally gud, our legal systems even though may be flawed, our heritage whether colonial or otherwise - kwani Americans hawakuwa a colony of Spanish, French and British? kwani Bill of Rights ya America haina history? Kumbuka it borrowed heavily ideas from the French Magna Carta, the English Petition of Rights, and the English Bill of Rights.Na sisi tumekopi hukohuko kwa wakoloni wetu waingereza. So lets be proud of what we have badala ya kukandia tu.NYUMBANI NI NYUMBANI HATA KAMA NI KUBAYA!
 
Jaji Ramadhani alitumia mfano wa Ufaransa kuelezea sovereignty ya Tanzania kwa hiyo kutumia mfano wa nje si dhambi.

Jaji huyu huyu alitumia mashairi kwenye opinions, kwa hiyo kutumia tamthiliya si dhambi.

In the tunes of Mwinamila

Kuhani kamix mambo

Sawa hiyoooo?

Aaaaaata, hiyo si sawa Kuhani acha vituko,

Pundit, naomba nikuulize swali. Nitashukuru mno kama utanipa a direct, clear answer. A "Yes" or "No" will be immensely appreciated.

Jaji Ramadhani alivyo chomekea misemo ya wafalme wa Ufaransa kufananisha Jamhuri ya Tanzania na tawala za King Louis XIV, na pale alipoimba mashairi yanayomuhusu Julius Ceasar ya "Beware the Ides of March" kwenye kesi ya Uhaini Zanzibar, je alikuwa coherent na illustrations zake? In other words, zilihusika? Did he make sense?
 
Pundit, naomba nikuulize swali. Nitashukuru mno kama utanipa a direct, clear answer. A "Yes" or "No" will be immensely appreciated.

Jaji Ramadhani alivyo chomekea misemo ya wafalme wa Ufaransa kufananisha Jamhuri ya Tanzania na tawala za King Louis XIV, na pale alipoimba mashairi yanayomuhusu Julius Ceasar ya "Beware the Aides of March" kwenye kesi ya Uhaini Zanzibar, je alikuwa coherent na illustrations zake? In other words, zilihusika? Did he make sense?

Nyani Ngabu is on point, dude ukimkamata analeta Alfu Lela U Lela.

Whether Jaji Ramadhani was right or wrong is immaterial, for all I know, and for the sake of argument, he might have been wrong due to a bad choice of analogy, he is a dimwit, like I said before we don't have a society to speak of, gaffes and incoherency run amok from the waiter to the president and chief Justice, so the fact that he could be wrong speaks nothing about the issue of validity of an example from another country in our courts.

But what we have seen is that the courts can and do use illustrations from other countries, which is what I was doing.I am not responsible to ensure that the Chief Justice quotes "The Ides of March" and "The Supremacy of the Sovereignty of Louis XIII"
 
Alright, unadai Jaji Ramadhani "ni dimwit."

Lakini, ndugu Pundit, umetuambia kwamba unaweza kutumia illustration za kwenye novel za ng'ambo kum lambast Kamanda wa Polisi Tanzania kwa sababu hata Jaji Ramadhani nae alitumia illustration za mashairi ya ng'ambo kwenye kesi ya Uhaini Zanzibar. Illustration ambazo unakubali haziku make sense.

Sasa kama Jaji "ni dimwit," na wewe una justify ulichofanya kwa vile "dimwit" amekifanya, na wewe tukuiteje ?
 
Back
Top Bottom